Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kwaajili ya utekelezaji mkuuUnalichukua kivipi ndugu? I πππ
..you can't see substance if the level of ignorance goes deeper.I can't consume your word salads, no but thanks. You wrote A whole lot paragraph without saying anything of substance, rather than repeating yourself.
Katika watu wenye bahati Majaliwa ni mmoja wapo, huwa nashindwa kuelewa ilikuwaje akafika hapo alipo kwani nikimuangalia kwa makini naona kama ni mtu mwenye upeo mdogo sanaNawaamkua nyote
Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa amechangisha pesa za za kuwahani wahanga wa ajali ya ghorofa. kuna mambo kadhaa ya kuangazia hapa
Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha ambapo si mara ya kwanza kuchangisha na kuwasilisha kwa walengwa?
- Niffer ametoa taarifa ya kuchangisha na kuelezea kiwango alichokikusanya
- Waziri Mkuu ameipokea taarifa ya Niffer kama vile anapokea briefings za kiuchunguzi
- Waziri Mkuu anatoa agizo la kukamatwa na kuhojiwa Niffer ili aeleze nani kamruhusu kuchangisha tarehe 17 Novemba 2024
- Tarehe 18 Novemba 2024, waziri Mkuu anaelekeza polisi wamhoji mmiliki wa jengo lililoanguka. Agizo hilo limekuja baada ya wananchi kuhoji alipo mmiliki wa jengo na kama hajakamatwa tangu siku ya jengo kuanguka.
- Jengo limeanguka ahsubuhi saa tatu halafu Mkuu wa Mkoa na vikosi vya uokozi wanafika eneo la tukio saa nane mchana. Hilo jambo halijamkera Waziri Mkuu
Naomba kufahamu. Ni michango gani ya wahanga iliyolusanywa kupitia serikali na ikawasilishwa kwa walengwa? Nakumbuka michango ya tetemeko la ardhi Kagera ilikusanywa na walengwa hawwkuambulia senti. Vivyo hivyo mafuriko Morogoro wahanga waliishia kusikia redioni michango ambayo haikuwafikia.
Waziri Mkuu atueleze. Matumizi ya fedha za dharurq na majanga chini ya ofisi yake zimetumikqje tangu aingie ofisini?
Kweli ITATUWEKA HURU
hujuma kwenye matukio ya kitaifa yanayosimamiwa kisheria na kamati maalumu ya maafa na utapeli binafsi mwingine wowote ni marufuku ispikua umepewa kibali maalumu na kamati hiyo ya maafa πNawaamkua nyote
Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa amechangisha pesa za za kuwahani wahanga wa ajali ya ghorofa. kuna mambo kadhaa ya kuangazia hapa
Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha ambapo si mara ya kwanza kuchangisha na kuwasilisha kwa walengwa?
- Niffer ametoa taarifa ya kuchangisha na kuelezea kiwango alichokikusanya
- Waziri Mkuu ameipokea taarifa ya Niffer kama vile anapokea briefings za kiuchunguzi
- Waziri Mkuu anatoa agizo la kukamatwa na kuhojiwa Niffer ili aeleze nani kamruhusu kuchangisha tarehe 17 Novemba 2024
- Tarehe 18 Novemba 2024, waziri Mkuu anaelekeza polisi wamhoji mmiliki wa jengo lililoanguka. Agizo hilo limekuja baada ya wananchi kuhoji alipo mmiliki wa jengo na kama hajakamatwa tangu siku ya jengo kuanguka.
- Jengo limeanguka ahsubuhi saa tatu halafu Mkuu wa Mkoa na vikosi vya uokozi wanafika eneo la tukio saa nane mchana. Hilo jambo halijamkera Waziri Mkuu
Naomba kufahamu. Ni michango gani ya wahanga iliyolusanywa kupitia serikali na ikawasilishwa kwa walengwa? Nakumbuka michango ya tetemeko la ardhi Kagera ilikusanywa na walengwa hawwkuambulia senti. Vivyo hivyo mafuriko Morogoro wahanga waliishia kusikia redioni michango ambayo haikuwafikia.
Waziri Mkuu atueleze. Matumizi ya fedha za dharurq na majanga chini ya ofisi yake zimetumikqje tangu aingie ofisini?
Kweli ITATUWEKA HURU
Na wewe unahitaji kuelimishwa tofauti ya michango ya malisa na hiki alichofanya niffer...ujinga si ugonjwa.Mzee kashimwa penzi kitambo kaona amkomoe binti wa watu, mbona Malisa anachangisha michango mara kwa mara na hakatazwi wala kukamatwa?
Dada angu sijui kama una akili timamu, Malisa anachangisha kwenye simu na Nifa kwenye simu tofauti yao nini? TCRA wapo wameshindwa nini kutrack miamala?Na wewe unahitaji kuelimishwa tofauti ya michango ya malisa na hiki alichofanya niffer...ujinga si ugonjwa.
kwa hiyo wewe akili yako inaona uhalali wa jambo kupitia means inayotumia kukusanya michango na si kingine zaidi ya hicho..matukio anayotumia malisa kukusanya michango huwa ni majanga yametangazwa na serikali au ni masahibu ya watu wachache anaowafahamu malisa na hivyo anaguswa kuwasaidia..? je, malisa huwa anakusanya michango pasina kufahamu abcd za anayemkusanyia mchango? Nani anfahamu list ya wahanga wa tukio la kariakoo? ni watanzania peke yake au kuna wangine si watanzania..nadhani umeelewa tofautiDada angu sijui kama una akili timamu, Malisa anachangisha kwenye simu na Nifa kwenye simu tofauti yao nini? TCRA wapo wameshindwa nini kutrack miamala?
Sawa ofisa wa kamati. Bado Mnahitaji michango ama tuache kiherehere...you can't see substance if the level of ignorance goes deeper.
Wewe dada angu ulichanga au ni boss wako kanyimwa penzi na dada wa watu kaamua kutumia madaraka kumkomoa? TCRA wapo wanashindwa kutrack miamala? kwanini UWT mnakuwa wapumbavu mnashindwa hata kujua vitu vidogo vidogo? kwa hiyo hata TCRA hamuiamini na wakati ni tawi la CCM? Shame on youkwa hiyo wewe akili yako inaona uhalali wa jambo kupitia means inayotumia kukusanya michango na si kingine zaidi ya hicho..matukio anayotumia malisa kukusanya michango huwa ni majanga yametangazwa na serikali au ni masahibu ya watu wachache anaowafahamu malisa na hivyo anaguswa kuwasaidia..? je, malisa huwa anakusanya michango pasina kufahamu abcd za anayemkusanyia mchango? Nani anfahamu list ya wahanga wa tukio la kariakoo? ni watanzania peke yake au kuna wangine si watanzania..nadhani umeelewa tofauti
Gifted heart foundation, wizara ya Polisi ndio kuna msajili wao.Malisa anachangisha mara kwa mara huwa anagongewa mhuri na nani?
ππ Nifa atoe sugar.Dingi anapenda vidosho atakuwa kanyima mzigo kaamua kumkomoa
Kabbla hajasajili mwaka 2022 tulikuwa tunatuma kwenye no zake za voda, nimeanza kuchangia 2020 kabla hajasajili, nyie UWT kwanini hamnaga akili? kwani TCRA wameshindwa nini kutrack miamala aliyochangisha kama ameiba? mara kwa mara tunachangia watu huku kitaa nani huwa anagonga mhuri? Nifer hajasema ni mchango wa lazima ni hiari yeye Majaliwa amechangia na kwanini ameumia kuliko sisi tuliochangia? Kuna alichangia amelalamika hela yake kuliwa? baada ya faza kunyimwa mzigo ameamua kumkomoa dada wa watu.Gifted heart foundation, wizara ya Polisi ndio kuna msajili wao.
..tatizo siyo njia inayotumika kukusanya michango, usilinganishe matukio anayotumia malisa kuchanga kusaidia watu na matukio yaliyopewa hadhi ya kitaifa km hili la kariakoo, km unadhani means ndio tatizo, leo jioni tangaza hapo unapoishi unakusanya cash kusaidia wahanga wa tukio hili uone utakapoishia labda kwa njia hiyo utaelewa.Wewe dada angu ulichanga au ni boss wako kanyimwa penzi na dada wa watu kaamua kutumia madaraka kumkomoa? TCRA wapo wanashindwa kutrack miamala? kwanini UWT mnakuwa wapumbavu mnashindwa hata kujua vitu vidogo vidogo? kwa hiyo hata TCRA hamuiamini na wakati ni tawi la CCM? Shame on you
Humuoni faza hataki kuonekana ana mvi sababu ya vidosho kila siku nywele anapiga kiwiππ Nifa atoe sugar.
Acha ujinga wa kunitisha, kwani wangemwambia apeleke hiyo michango na aache bila kumkamata kungekuwa na tatizo gani?..tatizo siyo njia inayotumika kukusanya michango, usilinganishe matukio anayotumia malisa kuchanga kusaidia watu na matukio yaliyopewa hadhi ya kitaifa km hili la kariakoo, km unadhani means ndio tatizo, leo jioni tangaza hapo unapoishi unakusanya cash kusaidia wahanga wa tukio hili uone utakapoishia labda kwa njia hiyo utaelewa.
Unataka kujua au tayari una conclusion yako? Michango ya mwanao kuvunja ungo, kumtoa mwali mwanao, kuvishana Pete, harusi, msiba, kumchangia Tundu Lissu kununua gari la kutembelea hiyo yote ni ruksa na endelea kuchangisha. Lakini, michango YOTE inayohusiana na MAJANGA YA KITAIFA hiyo onaratibiwa na OFISI YA WAZIRI MKUU KITENGO CHA MAAFA. Kinyume na hapo kuchangisha michango hiyo bila ruhusa ni uvunjifu wa sheria.Nawaamkua nyote
Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa amechangisha pesa za za kuwahani wahanga wa ajali ya ghorofa. kuna mambo kadhaa ya kuangazia hapa
Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha ambapo si mara ya kwanza kuchangisha na kuwasilisha kwa walengwa?
- Niffer ametoa taarifa ya kuchangisha na kuelezea kiwango alichokikusanya
- Waziri Mkuu ameipokea taarifa ya Niffer kama vile anapokea briefings za kiuchunguzi
- Waziri Mkuu anatoa agizo la kukamatwa na kuhojiwa Niffer ili aeleze nani kamruhusu kuchangisha tarehe 17 Novemba 2024
- Tarehe 18 Novemba 2024, waziri Mkuu anaelekeza polisi wamhoji mmiliki wa jengo lililoanguka. Agizo hilo limekuja baada ya wananchi kuhoji alipo mmiliki wa jengo na kama hajakamatwa tangu siku ya jengo kuanguka.
- Jengo limeanguka ahsubuhi saa tatu halafu Mkuu wa Mkoa na vikosi vya uokozi wanafika eneo la tukio saa nane mchana. Hilo jambo halijamkera Waziri Mkuu
Naomba kufahamu. Ni michango gani ya wahanga iliyolusanywa kupitia serikali na ikawasilishwa kwa walengwa? Nakumbuka michango ya tetemeko la ardhi Kagera ilikusanywa na walengwa hawwkuambulia senti. Vivyo hivyo mafuriko Morogoro wahanga waliishia kusikia redioni michango ambayo haikuwafikia.
Waziri Mkuu atueleze. Matumizi ya fedha za dharurq na majanga chini ya ofisi yake zimetumikqje tangu aingie ofisini?
Kweli ITATUWEKA HURU
ππ Ngoja ale kaka, anauhakika na kongosho inasaga sukari kwa uhakika.Humuoni faza hataki kuonekana ana mvi sababu ya vidosho kila siku nywele anapiga kiwi
Aache kuonea wanaomtosa sasaππ Ngoja ale kaka, anauhakika na kongosho inasaga sukari kwa uhakika.
Wema na makonda umesahau??kibox manyoya ichooNadhani kuna bifu binafsi ..mambo ya personal