Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

Wewe ndo miongoni mwa lile jeshi la Niffer (zombie wake)

Vifungu vya sheria unavyo lakini hata akili ya kuvielewa huna.

Onyesha sehemu palikoandikwa kwamba mtu binafsi anaruhusiwa kukusanya michango kwenye maafa ya kitaifa kupitia account zake binafsi kwa lengo la kwamba ataiwasilisha kwenye kamati.
 
Wachukue hela wamuachie Madam..Mbona kosa Takatifu tu hilo?
 
hujuma kwenye matukio ya kitaifa yanayosimamiwa kisheria na kamati maalumu ya maafa na utapeli binafsi mwingine wowote ni marufuku ispikua umepewa kibali maalumu na kamati hiyo ya maafa 🐒
Kamati isiyo na mipango mikakati wala endelevu ya kuyakabili maafa na majanga.
 
Zamu ya nani kumpelekea chakula Niffer usiku huu?

Wewe bwabwaja mwenzio akiachíwa atakapoanza kumsifu mama Samia ndio utajuwa hujui Bar vichaa.
 
Tangu huyu PM adanganye kuwa rais aliyepita yupo ofisini anachapa kazi wakati ameshakata moto sina imani nae tena
Mnakuza hili jambo, kwani nani alisema ukweli hadi mumkazanie Majaliwa tu ndio alisema uongo? Hata Samia alisema Rais anaumwa vimafua tu, ila sioni watu kumuandama nae kuwa alisema uongo.
 
Haiwezekani watu mia kukusanya michango wewe!
Akitokea mmoja kuchangisha hakuna mwingine atatokea!
 
Soma hiko kifungu namba 36 (2) halafu nitafsirie umeelewaje hicho kifungu.
Kwa mujibu wa hicho kifungu watu wa kawaida wanaruhusiwa kukusanya michango na kuiwasilisha kwenye kamati .
Wewe utakuwa kichwa maji flani walamba viatu aka machawa wa viongozi.
Huyo majaliwa kachemsha vibaya sana
 

Attachments

  • Screenshot_2024-11-19-15-09-34-72.png
    274.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…