Bado hujajibu mada, Hapo ni Kama umemchamba tu. So kwahiyo ?Kitega uchumi kizuri ni wewe, siyo vifaa.
Bajaj dar iwe uber hapo sawa sio kupanga foleni....hailipi...mtagombanaaNiko simiyu kikazi, ila tractor nataka ikafanye kazi dodoma, bajaji ikafanye kazi dar
Sasa hapo unataka vyote hujachagua kati ya bajaji na trekta.Niko simiyu kikazi, ila tractor nataka ikafanye kazi dodoma, bajaji ikafanye kazi dar
- Swali: Je kwa "investment Capital" ya TZS ngapi?, dimaa=
"Njooni tushare ideas, kati ya kununua trekta au bajaji kipi ni kitega uchumi kizuri?"
=
Bonga babati kuanzia milioni 2.5 mtamba anaeweza kubeba mimbaMkuu wale ng'ombe wanauzwaje na manyara sehemu gani?
Unaenda kunufaisha watu wengine siyo wewe! Yaani ukabidhi watu wewe uko mbali? Tegemea kutumia mshahara wako kufanya matengenezo!Niko simiyu kikazi, ila tractor nataka ikafanye kazi dodoma, bajaji ikafanye kazi dar
Changamoto inaweza kuwa trekta nazo zimekuwa nyingi sana siku hizi, kufikisha ekari hizo 1000 ni ishu kwa mwaka.Bei ya chini zaidi ya tractor inaweza kuwa 40,000,000 ambapo ukiwa unakodisha inaweza kukuingizia shilingi 40,000 faida kwa ekari 1 baada ya kutoa gharama za uendeshaji.
Ukilimia ekari 1000 kwa Mwaka ina maana utaingiza 40,000,000 faida baada ya miaka 2 hela yako ya mtaji na faida inakuwa imerudi. Hapo sijapiga gharama za kusomba mizigo n.k
Milioni 40,000,000 kwa bei ya Bajaji kwasasa utapata Bajaji 5 na iwapo itakuingizia 30,000 kwa siku ina maana kwa mwezi utaingiza 30,000x5@30=4,500,000
Ambapo utaingiza 54,000,000 kwa Mwaka.
NB; Upande wa Bajaj sijapiga factor ya Kutoletwa hela ya kipande kwa siku maana Vijana wa Bajaj wote kama wanafanana kwenye usumbufu wa hela, ajali n.k
Binafsi ningeenda na mradi wa Tractor maana risk zake ni Chache kuliko Bajaji
Nalinganisha mzunguko wa pesa mkuu, ila shukrani kwa ushauri.Swali la ajabu kweli. Unalinganishaje Bajaj na tractor, au ukute unasema power tiller wewe?
Kwanza uko mbali na eneo unalotaka kufanya uwekezaji. Uko Mwanza unataka uwekeze Dar na Dodoma ni bora uchukue tractor kama hela ipo. Litadumu na kurudisha hela bila usumbufu mkubwa kuliko bajaj.
Upo sahihi, ila risk ya tractor ni ndogo kuliko BajajiChangamoto inaweza kuwa trekta nazo zimekuwa nyingi sana siku hizi, kufikisha ekari hizo 1000 ni ishu kwa mwaka.