Njooni tushare ideas, kati ya kununua trekta au bajaji kipi ni kitega uchumi kizuri?

Njooni tushare ideas, kati ya kununua trekta au bajaji kipi ni kitega uchumi kizuri?

Hapo hakuna ulinganifu. Bei ya tractor na Bajaj ni tofauti.
Labda utuambie kwanza una mtaji sh. Ngapi? Sababu hata power tiller ni tractor ukiachana na Massey.
Sahihi kabisa, ni vitu viwili tofauti kabisa kuvilinganisha, na biashara ya sekta tofauti pia!
 
Hizo biashara zote mbili ni LAZIMA usimamie mwenyewe mguu kwa mguu. La sivyo tunakusubiri hapa uje ukilia kuomba ushauri baada ya kuchezea za uso.
 
Back
Top Bottom