Njooni tushare ideas, kati ya kununua trekta au bajaji kipi ni kitega uchumi kizuri?

Amani ya allah iwe juu yenu.

Katika harakati za maisha, watu wanapambana sana ili kuona wanajikwamuaje katika dimbi la umaskini.
Kila mtu kuna kitu anafikiri ni bora zaidi akikiweka kwenye kitega uchumi, basi kitampatia mafanikio mazuri.

Basi nami niko kwenye tafakuri kubwa, kati ya trekta na bajaji ni kipi bora zaidi?

Njooni tupeane mawazo na uzoefu.
Kama upo mjini. Nunua trekta itakusaidia sana
Na kama upo kijijini Bajaj itakusaidia sana.
 
Ngoja nikujibu upande wa trekta maana ndio napata kula na kuendesha maisha huko.

Kwanza nikutoe wasiwasi wa kusema trekta zipo nyingi sana. Trekta bado ni chache sana hapa nchini, yani hazitoshelezi mahitaji ya wakulima. Na kwakua upo Dodoma basi experience yako ya matrekta nahisi itakua ime base hapo Dodoma hasa maeneo ya Kibaigwa.

Trekta na bajaji vyote vinahitaji usimamizi wa hali ya juu. Trekta ukikuachia dereva afu wewe unasubiri hesabu jioni, nakuambia utapigwa vibaya mno(naongea kwa uzoefu hapa). Utapigwa mpaka utatamani ukatambikiwe na ukoo.

Kama huna muda wa kusimamia trekta lako achana nalo. Hela hiyo kawekeze sehemu nyingine. Ila kama una muda wa kutosha kusimamia basi trekta litakutendea maajabu mazuri mno.

Naona unataka trekta lako lifanye kazi Dodoma, kama utabase Dodoma peke yake basi ni matumaini yangu una uhakika wa kazi za kutosha hapo. Ila ni bora uwe mtu wa kuzunguka maeneo tofauti tofauti. Ujue misimu ya maeneo husika na gharama za kufanya kazi huko alafu uamue kwenda au kubaki. Mimi huwa naenda Ifakara, Kilosa, Tanga, hadi Matui. Kote huko nazunguka na matrekta. Vile vile ujitahidi uwe unalima na mashamba yako, hii itakupa faida zaidi.

Usiwe mtu wa kukubali kila kitu unachoambiwa na dereva wako au dalali. Ukipewa taarifa yoyote kuhusu kazi au matengenezo ya chombo chako, ichukue hiyo taarifa, ichakatez omba ushauri ikiwezekana then chukua maamuzi. Na uwe mtu wa kwenda kukagua wewe mwenyewe physically. Biashara ya simu pekee isiyo na wizi ni betting tu. Huku kwingine ukifanya biashara kwa simu utaibiwa ni suala la muda tu.

Yapo mengi sana ya kuelezea kuhusu biashara ya kukodisha trekta. Ila nitayaeleza kadri utakavyouliza maswali. Kutype kwenye simu kunachosha.

NB:Nauza trekta used massey ferguson, farmtrack na new holland. Kama unahitaji moja kati ya trekta tajwa hapo usisite kunitafuta pia. Makao yangu ni Morogoro mjini
 
Poa mkuu, mke wangu kwao ni matui, hongera kwa kuzunguka hadi huko. Kwa mwaka unaweza kusanya sh. Ngapi kwa trekta?. Massey unauzaje ?
 
Mimi huwa nakuwaga na mawazo tofauti.......ukiona kitu huwezi kufanya mpaka uombe ushauri Kwa watu jua kabisa uwezo wako kwenye hicho kitu upo chini ya asilimia 15%...hizo ni asilimia chache sana kwenye kufanya maamuzi ambayo yanaweza kuleta mafanikio... Nachoweza kukuambia ni kwamba hiyo Hela unaenda kuipoteza na mtu wa kulaumiwa yupo anakusubiria umletee Hilo fungi(siku izi watu hawaogopi lawana)
 
Poa mkuu, mke wangu kwao ni matui, hongera kwa kuzunguka hadi huko. Kwa mwaka unaweza kusanya sh. Ngapi kwa trekta?. Massey unauzaje ?
Asante sana,
Inategemea na ufanyaji wako wa kazi na uzima wa trekta pia. Na maeneo unayoenda pia yatachangia kuona ni kiasi gani kwa mwaka unaweza kupata. Ila mwaka ambao kwangu ninaweza kusema ni mzuri. Basi huwa naingiza kati ya milioni 12 hadi 16. Hapo nitafanya kazi ya kulimia watu mashamba yao, nitalima na ya kwangu. Wakati wa mavuno nitabeba pia mazao yao. Na mwaka huu ulikua ni mwaka bora sana kwenye kusomba mazao(mpunga), maeneo ya Kilosa

Ipo massey 290(2wd). Milioni 26 pamoja na jembe lake original(si la kuchonga).
 
Ina miaka mingpi?
 
Trekta ni biashara ya msimu
Bajaji kama unaendesha mwenyewe

Ukikwama kote
Njoo nikupe equity share kwenye biashara yangu 10% annually
 
Back
Top Bottom