P Peaceforever JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,030 Reaction score 2,200 Oct 31, 2023 #41 ankol said: Hapo hakuna ulinganifu. Bei ya tractor na Bajaj ni tofauti. Labda utuambie kwanza una mtaji sh. Ngapi? Sababu hata power tiller ni tractor ukiachana na Massey. Click to expand... Sahihi kabisa, ni vitu viwili tofauti kabisa kuvilinganisha, na biashara ya sekta tofauti pia!
ankol said: Hapo hakuna ulinganifu. Bei ya tractor na Bajaj ni tofauti. Labda utuambie kwanza una mtaji sh. Ngapi? Sababu hata power tiller ni tractor ukiachana na Massey. Click to expand... Sahihi kabisa, ni vitu viwili tofauti kabisa kuvilinganisha, na biashara ya sekta tofauti pia!
P Peaceforever JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,030 Reaction score 2,200 Oct 31, 2023 #42 Come27 said: Kama upo mjini. Nunua trekta itakusaidia sana Na kama upo kijijini Bajaj itakusaidia sana. Click to expand... Mbona kama vice versa au mimi ndiyo sijaelewa?
Come27 said: Kama upo mjini. Nunua trekta itakusaidia sana Na kama upo kijijini Bajaj itakusaidia sana. Click to expand... Mbona kama vice versa au mimi ndiyo sijaelewa?
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 5,771 Reaction score 17,849 Oct 31, 2023 #43 Hizo biashara zote mbili ni LAZIMA usimamie mwenyewe mguu kwa mguu. La sivyo tunakusubiri hapa uje ukilia kuomba ushauri baada ya kuchezea za uso.
Hizo biashara zote mbili ni LAZIMA usimamie mwenyewe mguu kwa mguu. La sivyo tunakusubiri hapa uje ukilia kuomba ushauri baada ya kuchezea za uso.
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Oct 31, 2023 #44 dimaa said: Biashara ipi hyo unapiga? Click to expand... Nazalisha vipodozi