Nkana wataka mil 800 kwa Bwalya , Simba wagoma

Nkana wataka mil 800 kwa Bwalya , Simba wagoma

Mpya huyu mbadala wa Bwalya fundi anafunga balaa
Yaani huyu Bora uwanja wa Taifa maana viwanja vibovu Kama Mkwakwani ndo anafunga kwa sifa
64746454_2202915053353053_2080449288797683712_n.jpeg
 
Mo ni mhuni sana kila Siku anawajaza simba upepo mara anataka kumuuza kagere bilion moja mara ana msajiri walter bwalya

Dirisha linakuja kufungwa kawasajili akina juma wilison wa singida pekee mtalia na kusaga meno enyi wajukuu wa bi hindu

Mwaka huu mtakula mliko ipeleka hati ya jengo
Ila ajue kuwa "HE CANNOT CHEAT ALL THE PEOPLE ALL THE TIME".
 
Mo ni mhuni sana kila Siku anawajaza simba upepo mara anataka kumuuza kagere bilion moja mara ana msajiri walter bwalya

Dirisha linakuja kufungwa kawasajili akina juma wilison wa singida pekee mtalia na kusaga meno enyi wajukuu wa bi hindu

Mwaka huu mtakula mliko ipeleka hati ya jengo
Ha ha ha
 
Process za kurasimisha Mali za Simba bado ikiwemo hati alionayo mzee Kilomoni na nyaraka zingine zipo kwenye kesi inayowakabili Aveva na Kaburu so zote zitakapopatikana pesa itawekwa hiyo haina shida
Punguza wenge Simba iko makini
Hivi suala la hati lilpo ktk makubaliano ya Mo na simba au limeibukia njiani?
 
Hii dili naisi inamuhusu kotei kwenda kaizer chief
 
Back
Top Bottom