Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Napata hofu,mwarabu kucheza east Africa ,Tanzania , maana Mazembe na pesa zao haijawahi sajiri mwarabu , hapa Mo katisha na Simba yakeTusibiri mkuu,wametisha sana
waweza kuta ni kocha wa viungo na si mchezaji
Napata hofu,mwarabu kucheza east Africa ,Tanzania , maana Mazembe na pesa zao haijawahi sajiri mwarabu , hapa Mo katisha na Simba yake
Hahahaha, nami nasubiri hivyoWasije wakawa wanaturusha roho,mi nasubiri watangaze rasmi
Mpya huyu mbadala wa Bwalya fundi anafunga balaa
Yaani huyu Bora uwanja wa Taifa maana viwanja vibovu Kama Mkwakwani ndo anafunga kwa sifaView attachment 1131568
Vipi unamjua huyo mchezaji? Au rangi ya huyo mchezaji imekupa imani ndio maana umesema wametisha?Asee wametisha
Ila ajue kuwa "HE CANNOT CHEAT ALL THE PEOPLE ALL THE TIME".Mo ni mhuni sana kila Siku anawajaza simba upepo mara anataka kumuuza kagere bilion moja mara ana msajiri walter bwalya
Dirisha linakuja kufungwa kawasajili akina juma wilison wa singida pekee mtalia na kusaga meno enyi wajukuu wa bi hindu
Mwaka huu mtakula mliko ipeleka hati ya jengo
Anaitwa nani na anatokea timu gani huyu?Mpya huyu mbadala wa Bwalya fundi anafunga balaa
Yaani huyu Bora uwanja wa Taifa maana viwanja vibovu Kama Mkwakwani ndo anafunga kwa sifaView attachment 1131568
Wanatoa wapi pesa ya kununua mchezaji Wa gharama hyo?Simba pesa ipo labda wanaangalia mkali zaidi ya huyo
Ha ha haMo ni mhuni sana kila Siku anawajaza simba upepo mara anataka kumuuza kagere bilion moja mara ana msajiri walter bwalya
Dirisha linakuja kufungwa kawasajili akina juma wilison wa singida pekee mtalia na kusaga meno enyi wajukuu wa bi hindu
Mwaka huu mtakula mliko ipeleka hati ya jengo
Mpaka apewe hati?Process hazijakamilika za kufanya aweke bilioni 20 kwenye account ya Simba kuwa muelewa wewe,
Pesa inayotumika Sasa Ni Kama ufadhili tu
Hivi suala la hati lilpo ktk makubaliano ya Mo na simba au limeibukia njiani?Process za kurasimisha Mali za Simba bado ikiwemo hati alionayo mzee Kilomoni na nyaraka zingine zipo kwenye kesi inayowakabili Aveva na Kaburu so zote zitakapopatikana pesa itawekwa hiyo haina shida
Punguza wenge Simba iko makini
Huu ukweli ndo hawataki kuusema.Simba kama Club hawana pesa...Pesa anazo Mo na ukoo wake! Jiongeze wewe!
Noma Sana 🤣🤣🤣! Ila akiletwa mbrazil (Jaja wa Yanga enzi za Maximo) halitakuwa jambo jipya siyo?Napata hofu,mwarabu kucheza east Africa ,Tanzania , maana Mazembe na pesa zao haijawahi sajiri mwarabu , hapa Mo katisha na Simba yake