TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Juzi nimecheka kiongozi wa mbio za mwenge nae ametoa siku Saba Sijui nini kiwe kimefanyika kwenye iyo wilaya fulani nimeisahau,,niliona kwenye gazeti la MWANANCHI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ina vituko hii, mtu kapata ukuu wa wilaya, tayari anajiona ni untouchable. Ipo siku na wao vitu wanavyofanya vitakuja kuwageukia.
Malizia na "... Oyeeeee"OMG
Na huyu tena... hawa viongozi wengine duuuuuuu wamezidi... huyu hapana sio binadamu. Yaani kazi ya kujitolea ndio analazimisha.. hapana aiseeee hao lazima wameugua.. kisa kutafuta kiki lazima pesa anaweka mfukoni huyo. Ni mnyama
Tatizo ni uchwaraTusiwalaumu hawa ma DC nakumbuka siku ya kuapishwa kwao waliambiwa wana sheria ya kuwaweka raia ndani waitendee haki. Sasa kinachoendelea kina mibaraka toka juu [emoji107]
Cairo's