Nkasi: Peter Lijualikali amdaka Mwalimu aliyemuoa Mwanafunzi na kuishi nae Nyumba za Shule

Hizi nafasi za Ukuu wa Wilaya hazina maana kabisa,hiyo kazi ya kukamata ingeweza kufanywa na Mkuu wa kituo tena akishirikiana na Balozi wa nyumba kumi.
Practically, hao ndiyo waliomkamata. DC alikwenda kwa ajili ya publicity tu.
 
Lijuakali ni Mkuu wa wilaya? Ccm Kweli Mbele kwa Mbele!
 
Hii habari itapata airtime kwa kuwa mhusika ni mwalimu.

Ukweli ni kwamba Rukwa (mjini na vijijini) watoto kuanzia 11 YRS WANAOLEWA 'RASMI' - mahari na sherehe za kijamii.

Ukiangalia kwa karibu hata jina la mwanaume - Mwanakulya - ni mwenyeji wa huko.

Mbaya zaidi, kuna matukio kibao ambapo mwoaji na mwolewaji ni under 18 YRS (mtoto anamwoa motto),na jamii inashangilia.

Hizi sheria zinazotungwa na kupitishwa kwa nguvu ya activists zimeonyesha walakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…