umasikini mbaya sana, dawa yake ni elimuWatoto wa masikini wanatumika kijinga sana nchii hii
Wewe mtoto wewe mtoto! Umezidi kwa uongo
Wanaccm ndoa wanaoleta fujo halafu wanasingiziwa wapinzani
CCM hii iliyomteka na kumwua Ally Kibao, iliyomteka na kumpoteza Soka na wenzake, halafu isiwe na desturi ya kutesa watu? Kuteka na kuua siyo mateso?Mashujaa kwa nani yaani CCM iangaike na mmbunge mmoja tu wa CDM wa kuchaguliwa.
Hao ni wahuni tu wanaotumia resources za chama kufanya uhalifu na sijui aliewatuma nani.
Kamwe siasa za kuumizana sio desturi ya CCM.
Akifunguliwa iyo kesi nachoma vyeti vyangu kuanzia Cha kuzaliwa,,ubatizo ,kipa imara, Cha darasa la sana,form 4 ,form 6, degree,mpka vyeti vya clab kama mali hai,PCCB, yaan vyeti vyoteHuyo DC mpaka muda huu bado yupo ofisini? Huyu atumbuliwe kabla hakujakucha na afunguliwe kesi ya uhaini
Mkuu ulikula ada?Where are going as a country?
Murder na intention to murder vina tofauti?Ndiyo inayo dhamana alafu hiyo siyo Arson, Arson ni kuchoma nyumba moto na hao hawajachoma nyumba yoyote moto hadi muda huo kwahiyo hawawezi kushtakiwa kwa kosa hilo
Ukute wanatumia jina la DC kujihami ,na ukute mwandishi ameongeza chumvi Kwa sababu watu wakachome nyumba ya Mbunge for what?
lina utaacha upuuzi?Haya ndio chagadema wanayoyajua..kutafuta attention, fujo, ugomvi na kiki..sijaona sera zozote za maana
EMashujaa kwa nani yaani CCM iangaike na mmbunge mmoja tu wa CDM wa kuchaguliwa.
Hao ni wahuni tu wanaotumia resources za chama kufanya uhalifu na sijui aliewatuma nani.
Kamwe siasa za kuumizana sio desturi ya CCM.
Hata kama ni mm siendi maana unapoteza muda tuu ,mbona sativa alishawataja walio muumiza na Bado wapo? Mbona Lissu alishataja waliohuska na jaribio la mauaji yake na hakuna kitu?Kwanini Mnyika amekimbia wito wa jeshi la polisi?
Akili kichwani ‘bi-tozo’
Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa hapo vipi ?