LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kama wametumwa na DC mathematically wametumwa na Rais.. maana DC anamuwakilisha Rais kwenye hiyo wilaya
 
Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611

Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.

Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
Hizo tuhuma zingehusu vijana wa chadema kwanza wangula kichapo kikali kicha kugawanywa na kuwazungusha mkoa mmoja baada ya mwingine vituo vya polisi wakisubiri amri kutoka juu
 
Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611

Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.

Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
Piga kama paka mwizi
 
Back
Top Bottom