Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mngeandikisha Hadi maiti na vitoto vya La Saba.CCM wanaopiga kura wanatosha sana, na tunasonga mbele kama Taifa,
hata hivyo,
walisusa chama kizima sembuse wewe kamoja tu gentleman?
Samia mwenyewe ana sisitiza AMANI!Japo inajulikana kwamba Wataachiwa na Polisi, hii ni kwa sababu Polisi ni sehemu ya ccm
Ukiwaangalia wanaonekana choka mbaya !Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611
Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.
Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
Kama ni askari naona ni sawa tu!Kuna askari kapigwa mapanga juzi tu huku na watu Fulani Sasa najiuliza hii nchi yangu mbona imekuwa uadui wa kimya kimya mwingi hivi?! Tufanyeje
Roho ya mauti inakusumbua gentleman,Mngeandikisha Hadi maiti na vitoto vya La Saba.
Alafu mwanaume uandike kiume...kaza mkono.
Sawaaa.
Natumiwa taarifa toka Mbezi watu hawajona majina yao na wengine wamekuta wametikiwa kwa mgombea wa wezi ( CCM ).Roho ya mauti inakusumbua gentleman,
yafaa kuikemea au ukaombewe na upakwe mafuta ya utakaso.
kuhusu uchaguzi,
maeneo mengi nchini, hali ni tulivu na shwari kabisa uchaguzi ni wa amani kwa kiwango cha juu mno 🐒
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611
Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.
Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
majina yote yalibandikwa kwenye ofisi za serikali za mitaa siku moja baada ya zoezi la kujiandikisha kuhitimishwa,Natumiwa taarifa toka Mbezi watu hawajona majina yao na wengine wamekuta wametikiwa kwa mgombea wa wezi ( CCM ).
Sasa huoni Kama wewe na wezi wenzio ni maiti.

Michezo yenu raia wameisoma na washajua kwanini mmewacrop kwenye list.kwa majivuno, ujuaji, ukaidi na jeuri hukwenda kuhakiki,
unasubiri siku ya tukio ndio unaanza kubabaika kwenye jambo rahisi kabisa na kusumbua watu...Michezo yenu raia wameisoma na washajua kwanini mmewacrop kwenye list.
Wenyeviti wenu wanahanja vibaya mno.unasubiri siku ya tukio ndio unaanza kubabaika kwenye jambo rahisi kabisa na kusumbua watu...
hata hivyo nchi inasonga vizuri mno 🐒
gentleman,Wenyeviti wenu wanahanja vibaya mno.
Nchi inasonga Gizani vizuri Sana Ndugu kipofu.

Punguza upumbavu!!majina yote yalibandikwa kwenye ofisi za serikali za mitaa siku moja baada ya zoezi la kujiandikisha kuhitimishwa,
kila mpiga kura alitakiwa kwenda kuhakiki jina lake...
kwa majivuno, ujuaji, ukaidi na jeuri hukwenda kuhakiki,
leo ndio unakuja kituoni na kuna majina zaidu ya elfu3 yamebandikwa ukutani, unaanza kubidua mdomo wako ng'we ng'we ng'we, sioni jina langu, alaaaa?
ulidhani uhakiki ilikua ni disco?
hata hujui ulijiandikisha namba ngapi kwenye orodha ya waliojiandikisha, kweli? are you serious?![]()
ila ajabu wanaoendelea zaidi cmm na feeder zake.gentleman,
hakuna haja ya kubabaika sana, maendeleo hayana chama,
ni kwaajili ya wananchi wote![]()
useless na nonsense mayhem itakuhenyesha mno gentleman na huna pointPunguza upumbavu!!