LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Uzembe wameufanya wangemalizana nao.. ndugu zao waje kuuchukua miili tu.
Hii ndio level tuliyofikia na wanayoitaka cccm
 
CCM wanaopiga kura wanatosha sana, na tunasonga mbele kama Taifa,

hata hivyo,
walisusa chama kizima sembuse wewe kamoja tu gentleman?
Mngeandikisha Hadi maiti na vitoto vya La Saba.
Alafu mwanaume uandike kiume...kaza mkono.
Sawaaa.
 
Japo inajulikana kwamba Wataachiwa na Polisi, hii ni kwa sababu Polisi ni sehemu ya ccm
Samia mwenyewe ana sisitiza AMANI!
Yawezekana kwa uelewa wake mh. Raisi hajui maana haswa ya neno AMANI
ana babaisha yu kama anavyobabaisha mengine
 
Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611

Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.

Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
Ukiwaangalia wanaonekana choka mbaya !
 
Mngeandikisha Hadi maiti na vitoto vya La Saba.
Alafu mwanaume uandike kiume...kaza mkono.
Sawaaa.
Roho ya mauti inakusumbua gentleman,

yafaa kuikemea au ukaombewe na upakwe mafuta ya utakaso.

kuhusu uchaguzi,
maeneo mengi nchini, hali ni tulivu na shwari kabisa uchaguzi ni wa amani kwa kiwango cha juu mno 🐒
 
Huwezi kuwa CCM kama una roho nzuri na ya huruma, CCM ni chama cha watu waovu, wenye roho mbaya, wasio na huruma, wezi, watekaji na wauaji.
 
Roho ya mauti inakusumbua gentleman,

yafaa kuikemea au ukaombewe na upakwe mafuta ya utakaso.

kuhusu uchaguzi,
maeneo mengi nchini, hali ni tulivu na shwari kabisa uchaguzi ni wa amani kwa kiwango cha juu mno 🐒
Natumiwa taarifa toka Mbezi watu hawajona majina yao na wengine wamekuta wametikiwa kwa mgombea wa wezi ( CCM ).
Sasa huoni Kama wewe na wezi wenzio ni maiti.
 
Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611

Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.

Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.

Mambo ya JEMBE NA NYUNDO hayo
 
Hii nchi ina umaskini wa kutisha hawa viongozi wa ccm na serikali fedha wanazotumia kuwapa kuwapa wahuni ili wakafanye uhalifu na mauaji ya kuchoma nyumba ya Mh Mbunge Aida zingetumika kununua madawati na kujenga vyoo vya walemavu sehemu mbalimbali nchini.
 
Natumiwa taarifa toka Mbezi watu hawajona majina yao na wengine wamekuta wametikiwa kwa mgombea wa wezi ( CCM ).
Sasa huoni Kama wewe na wezi wenzio ni maiti.
majina yote yalibandikwa kwenye ofisi za serikali za mitaa siku moja baada ya zoezi la kujiandikisha kuhitimishwa,

kila mpiga kura alitakiwa kwenda kuhakiki jina lake...

kwa majivuno, ujuaji, ukaidi na jeuri hukwenda kuhakiki,

leo ndio unakuja kituoni na kuna majina zaidu ya elfu3 yamebandikwa ukutani, unaanza kubidua mdomo wako ng'we ng'we ng'we, sioni jina langu, alaaaa?

ulidhani uhakiki ilikua ni disco?

hata hujui ulijiandikisha namba ngapi kwenye orodha ya waliojiandikisha, kweli? are you serious? :pulpTRAVOLTA:
 
Michezo yenu raia wameisoma na washajua kwanini mmewacrop kwenye list.
unasubiri siku ya tukio ndio unaanza kubabaika kwenye jambo rahisi kabisa na kusumbua watu...

hata hivyo nchi inasonga vizuri mno 🐒
 
Wenyeviti wenu wanahanja vibaya mno.
Nchi inasonga Gizani vizuri Sana Ndugu kipofu.
 
Nabubujikwa na machozi ya furaha kumpongeza CHURA kwa ulinzi mkali katika TAIFA la Tanganyika mpk wamekamatwa.
All the best
 
majina yote yalibandikwa kwenye ofisi za serikali za mitaa siku moja baada ya zoezi la kujiandikisha kuhitimishwa,

kila mpiga kura alitakiwa kwenda kuhakiki jina lake...

kwa majivuno, ujuaji, ukaidi na jeuri hukwenda kuhakiki,

leo ndio unakuja kituoni na kuna majina zaidu ya elfu3 yamebandikwa ukutani, unaanza kubidua mdomo wako ng'we ng'we ng'we, sioni jina langu, alaaaa?

ulidhani uhakiki ilikua ni disco?

hata hujui ulijiandikisha namba ngapi kwenye orodha ya waliojiandikisha, kweli? are you serious? :pulpTRAVOLTA:
Punguza upumbavu!!
 
Back
Top Bottom