Nkasi: Watumishi 2 kuswekwa ndani kutokana na matumizi mabaya ya fedha

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Tekinolosia Mhe.Omari Kipanga amemwagiza mkuu wa wilaya ya Nkasi Saidi Mtanda kuwaweka ndani watumishi wawili akiwemo mkuu wa chuo cha maendeleo ya jamii cha Chala pamoja na katibu wa kamati ya ujenzi wa chuo hicho kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za serikali.

Naibu huyo pia ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuzichunguza kamati 3 za ujenzi wa chuo hicho kutokanana matumizi mabaya ya fedha za serikali yaliyo sababisha chuo hicho kujengwa chini ya kiwango.

Akiongea wakati wa ziara yake ya kutembelea chuo hicho, amesema ujenzi wa chuo umejengwa chini ya kiwango na kusisiza kuundwa kwa tume ya kuchunguza ubadhifu wa fedha.

Mkuu wa wilaya hiyo Saidi Mtanda amesema ubadhirifu hupo umetokana na usimamizi mbovu wa miradi hiyo.

ITV
 
Ndugu, jamaa na marafiki wa watuhumiwa wanaenda kuongeza idadi ya haters jf, twitter, shida hizi!
 
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Tekinolosia Mhe.Omari Kipanga amemwagiza mkuu wa wilaya ya Nkasi Saidi Mtanda kuwaweka ndani watumishi wawili akiwemo mkuu wa chuo cha maendeleo ya jamii cha Chala pamoja na katibu wa kamati ya ujenzi wa chuo hicho kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za serikali.

Naibu huyo pia ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuzichunguza kamati 3 za ujenzi wa chuo hicho kutokanana matumizi mabaya ya fedha za serikali yaliyo sababisha chuo hicho kujengwa chini ya kiwango.

Akiongea wakati wa ziara yake ya kutembelea chuo hicho, amesema ujenzi wa chuo umejengwa chini ya kiwango na kusisiza kuundwa kwa tume ya kuchunguza ubadhifu wa fedha.

Mkuu wa wilaya hiyo Saidi Mtanda amesema ubadhirifu hupo umetokana na usimamizi mbovu wa miradi hiyo.

ITV
Waziri ni engineer? Ili jengo liwe chini ya kiwango linakuwa na sifa zipi?. Pia pesa iliyotolewa ilikidhi kujenga jengo lenye viwango?!. Au ni kiki juu ya kiki kuwekana ndani bila ya uchunguzi?. Kwa nini wasisimamishwe kupisha uchunguzi then mashitaka yafuate Kama kweli walikula hizo hela.
 
Wadhibiti ubora njooni pia mashuleni, kuna wakuu washule wanasaini pesa zinatoka kihuni hunitu, mfano mtu anasain kuwa kanunua mabox ya chaki lim lakin baada ya miez miwil yanapitishwa mahela mengi mengi yaan had basitu
 
Waziri ni engineer? Ili jengo liwe chini ya kiwango linakuwa na sifa zipi?. Pia pesa iliyotolewa ilikidhi kujenga jengo lenye viwango?!. Au ni kiki juu ya kiki kuwekana ndani bila ya uchunguzi?. Kwa nini wasisimamishwe kupisha uchunguzi then mashitaka yafuate Kama kweli walikula hizo hela.[/
 
Back
Top Bottom