TANZIA Nkwabi Ng'wanakilala afariki dunia

TANZIA Nkwabi Ng'wanakilala afariki dunia

Joined
Dec 29, 2013
Posts
19
Reaction score
5
Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la Habari Tanzania SHIHATA na mhadhiri wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino, Nkwabi Ng'wanakilala amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza alipokuwa anaugulia matatizo ya figo yaliokuwa yanamsumbua kwa takribani wiki tatu.

Mungu ailaze roho ya comrade mahala pema!
 
Jamani R.I.P Ng'wanakilala utakumbukwa kwa mengi na wana SAUT
 
Mungu wetu mwenye huruma uwe na familia hii wakati huu wa majonzi makubwa

RIP mzee wetu Nkwabi
 
Pia alikuwa mkurugenzi mkuu wa RTD wakati fulani. Lala pema Nkwabi
 
Bwana alitoa;Bwana ametwaa. Jina la Mungu lihimidiwe! R.I.P. Ng'wanakilala.
 
Back
Top Bottom