Mtanzania Mwanahalis
Member
- Dec 29, 2013
- 19
- 5
Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la Habari Tanzania SHIHATA na mhadhiri wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino, Nkwabi Ng'wanakilala amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza alipokuwa anaugulia matatizo ya figo yaliokuwa yanamsumbua kwa takribani wiki tatu.
Mungu ailaze roho ya comrade mahala pema!
Mungu ailaze roho ya comrade mahala pema!