NLD nayo yajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Kesho Lema nae anachafua hali ya hewa kwa CCM
Screenshot_20191113-223133.jpeg
 
View attachment 1262350

Wataalam wa kuhesabu na kujumlisha wanasema mpaka sasa hiki ni chama cha 7 kutangaza kutoshiriki uchaguzi.
Mkuu hiki chama si kilizikwa pamoja na mwenye chama Mzee Makaidi,halafu hiki chama ilikuwa kama SACCOSS ya Mzee makaidi pale nyumbani kwake Sinza,mwishowe utakuja kusema nae Hashim Rungwe kasusia uchaguzi wakati hata mke wake hakumchagua,vyama vingine ni sawa na genge la mama ntilie,akiwepo Miriam Biriani nao wateja watakuwepo,asikuwepo basi genge limekufa,mkuu unavyofananisha hivi vyama uchwara vya NLD na Rungwe ni sawa na kulinganishahotel Shibam pale magomeni na Serena Hotel
 
Unalalamika , unalia au unaandika ?
 
Back
Top Bottom