Nliingizwa Mjini kizembe sana. Nikajutia sana gharama zangu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Basi miaka ya nyuma ilitokea nikawa na rafiki kwenye mtandao. Huyo dada alikuwa anaonekana mambo mazuri sana. Tunachat n.k na alibahatika kupata rangi ya mitume wengi.

Basi tukadumu na kupeana mawasiliano ya simu. Na simu za hapa na pale zikawa zinapigwa. Basi mwezi wa pili nikaona si mbaya nikatembelee mkoa aliopo. Nikaenda. Nlifikia Hotel. Kesho yake nikamjulisha nimefika.

Basi nikawa restaurant nasubiria mgeni aje tuyajenge nikamgegede maana na hali ya hewa ilikuwa inaruhusu. Hapo nina ugwadu kama wa wiki mbili hivi. Nikawa nawaza tu nikifika naye room. Nitamkiss nitamfanya hivi... Kisha nitambidua

Nitamsugua upande upande, kisha kwa juu... Nitamgeuza upande mwingine... Basi mashine ikawa inazidi kuchachamaa.

Mara simu inapigwa naulizwa upo wapi. Nikaelekeza nlipo kaa.. mmh... Kucheck hivi kinakuja kibint flani kwanza kifupi.... Halafu kinaonesha ukomavu.... Nikasema labda kaamua kumtuma kwanza housegirl wake aje acheck kwanza mitambo ndo aje....

Aargh namwona ananiona anatabasamu na kukunjua mikono nimkumbatie... Nikaona hili balaa linanifuata live. Nikakwepa nikatanguliza mkono haraka. Basi nikapoteza furaha ghafla.

Akakaa kwenye kiti. Kuweka mikono hivi.... Daaaah... Kama anapiga ngumi ukuta. Myeusi huku usoni kajichubua. Huku kwenye vidole kama ndizi ya kuchoma imebabuliwa na moto mkali.

Tukaanza kuongea nikiwa nimepoteza nuru kabisa. Kuongea naye... NI YEYE.... siyo mtangulizi. Yaani nisimtegemee mwingine yule ndiye. Mashine ilisinyaa nadhani ikaingia ndani kabisa.

Akaagiza chakula. Wakati huo tunaongea kidogo inapigwa simu. Anapokea halafu kwa dk kama 3 hivi anamchamba huyo mtu. Anamtukana kinyama... Kisha anakata anarudi kwangu ananiuliza tuliishia wapi.

Baadaye akawa akipokea akichamba akirudi haulizi anaanzisha story nyingine. Nikaombea amalize msosi tu aondoke. Akamaliza sasa anataka tukapumzike. Aaargh wapi.... Nikasema moyoni sijala siku nyingi lakini hapana siwezi kula maokoto. Maana ni kama nimejiokotea

Kumbe zile picha za instagram alikuwa anatumia filters. Alikuwa anapendeza sana. Na alikuwa anaonekana ana shape. Huku nimekuja mwona live. Hana shape, hana rangi, hana ung'aavu.

Aaaargh.... Shit. Nikamwambia arudi nitamfuata jioni anipeleke sehemu halafu turudi Hotel. Nikampa nauli 20,000. Then alipoondoka tu nikam block. Nikawa nawaza mkoa ule nitampata nani aje angalau nipate bao la kufutia machozi. Nilihangaisha sana akili yangu. Nikaja tuma uzi humu JF kuwa aliye huo Mkoa anicheck.

Ikawa inakuja midume private nikaona ujinga yaani mimi nianze kuzunguka mjini na mwanaume mwenzangu wa nini.... Mwenda bure si sawa na mkaa bure nikaja pata mtu ambaye akanifuta machozi na kurudisha hasara ambayo nlianza pata.

Yule dada nlikuja mchana kuwa alinifanyia utapeli kutumia picha ambazo nitofauti na uhalisia. Alinikwaza sana.
 
kuna demu flani tulikuwa tunachat bila kuonana sasa akawa anauliza we mbona sauti yako mzito kama babu nisije nikawa natongozwa na baba yangu nikamwambia siku tuonane..... basi bwana siku ya kuonana alishangaa kuonana na handsome mmoja hatari halafu yeye ni wale mabinti wa kawaida dah yule demu aliniganda miaka ile kama LUBA yani nikimwambia nataka mbususu chap yani naulizwa lini ha ha ha
 
kuna demu flani tulikuwa tunachat bila kuonana sasa akawa anauliza we mbona sauti yako mzito kama babu nisije nikawa natongozwa na baba yangu nikamwambia siku tuonane basi bwana siku ya kuonana alishangaa kuonana handsome mmoja hatari halafu yeye ni wale mabinti wa kawaida dah yule demu aliniganda miaka ile kama LUBA yani nikimwambia nataka mbususu chap yani naulizwa lini ha ha ha
Ha ha ah....... Ukitaka muda wowote unaletewa mzigo. Sema wewe tu lini... Alikuwa safi sana
 
Basi miaka ya nyuma ilitokea nikawa na rafiki kwenye mtandao. Huyo dada alikuwa anaonekana mambo mazuri sana. Tunachat n.k na alibahatika kupata rangi ya mitume wengi.

Basi tukadumu na kupeana mawasiliano ya simu. Na simu za hapa na pale zikawa zinapigwa. Basi mwezi wa pili nikaona si mbaya nikatembelee mkoa aliopo. Nikaenda. Nlifikia Hotel. Kesho yake nikamjulisha nimefika.

Basi nikawa restaurant nasubiria mgeni aje tuyajenge nikamgegede maana na hali ya hewa ilikuwa inaruhusu. Hapo nina ugwadu kama wa wiki mbili hivi. Nikawa nawaza tu nikifika naye room. Nitamkiss nitamfanya hivi... Kisha nitambidua

Nitamsugua upande upande, kisha kwa juu... Nitamgeuza upande mwingine... Basi mashine ikawa inazidi kuchachamaa.

Mara simu inapigwa naulizwa upo wapi. Nikaelekeza nlipo kaa.. mmh... Kucheck hivi kinakuja kibint flani kwanza kifupi.... Halafu kinaonesha ukomavu.... Nikasema labda kaamua kumtuma kwanza housegirl wake aje acheck kwanza mitambo ndo aje....

Aargh namwona ananiona anatabasamu na kukunjua mikono nimkumbatie... Nikaona hili balaa linanifuata live. Nikakwepa nikatanguliza mkono haraka. Basi nikapoteza furaha ghafla.

Akakaa kwenye kiti. Kuweka mikono hivi.... Daaaah... Kama anapiga ngumi ukuta. Myeusi huku usoni kajichubua. Huku kwenye vidole kama ndizi ya kuchoma imebabuliwa na moto mkali.

Tukaanza kuongea nikiwa nimepoteza nuru kabisa. Kuongea naye... NI YEYE.... siyo mtangulizi. Yaani nisimtegemee mwingine yule ndiye. Mashine ilisinyaa nadhani ikaingia ndani kabisa.

Akaagiza chakula. Wakati huo tunaongea kidogo inapigwa simu. Anapokea halafu kwa dk kama 3 hivi anamchamba huyo mtu. Anamtukana kinyama... Kisha anakata anarudi kwangu ananiuliza tuliishia wapi.

Baadaye akawa akipokea akichamba akirudi haulizi anaanzisha story nyingine. Nikaombea amalize msosi tu aondoke. Akamaliza sasa anataka tukapumzike. Aaargh wapi.... Nikasema moyoni sijala siku nyingi lakini hapana siwezi kula maokoto. Maana ni kama nimejiokotea

Kumbe zile picha za instagram alikuwa anatumia filters. Alikuwa anapendeza sana. Na alikuwa anaonekana ana shape. Huku nimekuja mwona live. Hana shape, hana rangi, hana ung'aavu.

Aaaargh.... Shit. Nikamwambia arudi nitamfuata jioni anipeleke sehemu halafu turudi Hotel. Nikampa nauli 20,000. Then alipoondoka tu nikam block. Nikawa nawaza mkoa ule nitampata nani aje angalau nipate bao la kufutia machozi. Nilihangaisha sana akili yangu. Nikaja tuma uzi humu JF kuwa aliye huo Mkoa anicheck.

Ikawa inakuja midume private nikaona ujinga yaani mimi nianze kuzunguka mjini na mwanaume mwenzangu wa nini.... Mwenda bure si sawa na mkaa bure nikaja pata mtu ambaye akanifuta machozi na kurudisha hasara ambayo nlianza pata.

Yule dada nlikuja mchana kuwa alinifanyia utapeli kutumia picha ambazo nitofauti na uhalisia. Alinikwaza sana.
Acha uzinifu, tafuta mke oa
 
Back
Top Bottom