Nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp?

Mimi sipati confirmation code wiki Sasa inakata
Kila nikijaribu naambiwa nijaribu baada ya 1hr,situmiwi code kwa SMS wala kwa call.
Nikiclear storage na cache niaaze upya tatizo no hilohilo
Screenshot_20240524-155616_1716555588968.jpg

Msaada
 
Hizi teknolojia zimefanya uchepukaji uwe mgumu sana wakati mwingine

Uki- mess up kidogo unaletewa hadi ushahidi wa Picha za mnato πŸ™Œ

Sisi miaka yetu ilikuwa mnakutana shambani ama mtoni akienda kufua nguo 😜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo bado mtu hajakuwekea kile kiApp cha kuspy yaani full tafrani
 
SijapentaaaπŸ˜‚πŸ’”
Mpaka useme....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weee si umeambiwa hapo ufute cache sijui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Au ujaijua cache ndio nini...mana hili neno na mi selewi hapa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo bado mtu hajakuwekea kile kiApp cha kuspy yaani full tafrani
Yaani mzungu hataki kusema eti aliyekutwa na mchuzi ndiyo amekula nyama

Kwa teknolojia hiyo unaweza kukuta ile umelipia Chumba cha hotel tu, Waifu wako nyumbani anapata ujumbe kuonesha hadi Chumba utakachoingia πŸ™Œ

Bora tumezeeka tu 😜
 
Mimi sipati confirmation code wiki Sasa inakata
Kila nikijaribu naambiwa nijaribu baada ya 1hr,situmiwi code kwa SMS wala kwa call.
Nikiclear storage na cache niaaze upya tatizo no hilohiloView attachment 2998218
Msaada
Jaribu kubadili Simu, weka hiyo line kwenye simu nyingine download WhatsApp uko ikishakuja, fungua halafu ifute,. Halafu rudisha tena line kwenye simu yako download upya

Jaribu kwanza hivyo
 
Jaribu kubadili Simu, weka hiyo line kwenye simu nyingine download WhatsApp uko ikishakuja, fungua halafu ifute,. Halafu rudisha tena line kwenye simu yako download upya
Weeeeh yote haya ulijulia wapi ...
Ulikua unafanya nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee acha tu aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanadam wanatufanya tuhangaikeπŸ€’πŸ˜ƒ
Mweeeeh dhambi ..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona upo na jamaa bega kwa bega unampa njia tano tano aiseeeee
 
Yaani mzungu hataki kusema eti aliyekutwa na mchuzi ndiyo amekula nyama

Kwa teknolojia hiyo unaweza kukuta ile umelipia Chumba cha hotel tu, Waifu wako nyumbani anapata ujumbe kuonesha hadi Chumba utakachoingia πŸ™Œ

Bora tumezeeka tu 😜
Yaani ukizubaa unaweza kuta anakuonyesha hadi connection yako, mnaanza kugombana na uliyekua nae amekurekodi kumbe muhusika alichukua tukio akiwa miguu juu anangalia TV nyumbani πŸ€’πŸ€’πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpaka useme....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weee si umeambiwa hapo ufute cache sijui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Au ujaijua cache ndio nini...mana hili neno na mi selewi hapa

Mpaka useme....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weee si umeambiwa hapo ufute cache sijui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Au ujaijua cache ndio nini...mana hili neno na mi selewi hapa
Huwezi kuelewa coz ur poor brainπŸ˜‚πŸ’”
 
Yaani ukizubaa unaweza kuta anakuonyesha hadi connection yako, mnaanza kugombana na uliyekua nae amekurekodi kumbe muhusika alichukua tukio akiwa miguu juu anangalia TV nyumbani πŸ€’πŸ€’πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha.......hiyo hatari Mjukuu πŸ˜…

Japo kujihami, nikiwa na wewe eneo la tukio nakuelekeza uzime simu yako ili kuepusha kudukuliwa Kwa namna hiyo

Na Uzee huu kuwa na connection mbona unaweza kuomba Dunia ifunguke ikumeze, maana ni aibu tupu πŸ™Œ
 
Back
Top Bottom