Nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp?

Nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp?

Hahaha.......hiyo hatari Mjukuu 😅

Japo kujihami, nikiwa na wewe eneo la tukio nakuelekeza uzime simu yako ili kuepusha kudukuliwa Kwa namna hiyo

Na Uzee huu kuwa na connection mbona unaweza kuomba Dunia ifunguke ikumeze, maana ni aibu tupu 🙌
Ee ndo hivyo 😃😂😂
 
Kuanzia Leo sasa, set simu yako iwe inafanya backup mara moja Kwa wiki, haitumiki bundle kubwa kwa kuwa inakuwa inafanya back up zile zilizoingia recently na kujazia kwenye zile ambazo zimeshafanyiwa back up.

Kikubwa video na mapicha picha ambayo hayana tija unakuwa unayadelete kwenye Whatsapp yako na ku-save kwenye simu yako ili kuepuka ku-back up mavitu mengi na kutumia bundle kubwa maana ikifanya back up hiyo ya week inapita na message, video na picha itazozikuta kwenye chat zako.

Baadae unakuwa unafanya ku-delete Whatsapp na ku-install upya na vitu vinakuja
 
M

Mimi mdogo hata ubwabwa Wa shingo haujanitoka
Kiufupi Bado najitunza🥲
Ila kweli bado unajitunza ndo maana umekuja kuuliza!!!

Vijana wa ovyo utaratibu huu wa kurudisha "deleted" message ni sehemu ya maisha yao......akiona kabanwa tu anapiga back up alafu ana delete message na picha tatanishi anaonekana muungwana. Akipewa kisogo tu anaifuta Whatsapp na ku-install upya na connections zote alizo-save zinarudi
 
Kichwa chajieleza vizuri, naomba mnisaidie ni kwa nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp ikiwa natumia Whatsapp ya kawaida tofatu na gb Whatsapp, fm WhatsApp n.k

Kama Kuna App ya kurudisha deleted message basi naomba kufahamishwa.

Ova.
Wachana na simu ya mwanamke mkuu
 
C
Kichwa chajieleza vizuri, naomba mnisaidie ni kwa nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp ikiwa natumia Whatsapp ya kawaida tofatu na gb Whatsapp, fm WhatsApp n.k

Kama Kuna App ya kurudisha deleted message basi naomba kufahamishwa.

Ova.
Chemsha sufuria la maji ya moto, iingize simu kwa dakika moja tu, kisha itowe, msg zote ulizofuta utaziona zimerudi.

Au Mwambie uliyemtumia akutumie tena kwako au aliyekutumia akutumie tena. Au andika msg nyingine. Simpo.
 
C

Chemsha sufuria la maji ya moto, iingize simu kwa dakika moja tu, kisha itowe, msg zote ulizofuta utaziona zimerudi.

Au Mwambie uliyemtumia akutumie tena kwako au aliyekutumia akutumie tena. Au andika msg nyingine. Sim

C

Chemsha sufuria la maji ya moto, iingize simu kwa dakika moja tu, kisha itowe, msg zote ulizofuta utaziona zimerudi.

Au Mwambie uliyemtumia akutumie tena kwako au aliyekutumia akutumie tena. Au andika msg nyingine. Simpo.
Sijapentaaa😂😂💔
 
Back
Top Bottom