Mkuu sidhani kama unaongea ukiwa na ushahidi au umeamua tu kuongea CRDB hawajawai toa mkopo kwa mtumishi kama mshahara unapitia bank nyingine sababu za kutaka mshahara upitie kwao ni
1.waendelew kuwa na mteja wa kudumu katika bidhaa nyingine kama makato ya account, Atm kutoa pesa, makato ya mkopo( processing fees)
2.makato muda mwingine hazina yanakua ayafanyiki so kwao ni hasara so wanawezaje kuwa na uhakika utalipa mfano watu wangapi walitumbuliwa vyeti feki makato yakasimama hasara hii unafikili wangefidia vipi kama sio kupunguza machungu kwenye huduma nyingine
3. Kunatabia ya makampuni kutoa makato au kupunguza kutoka kwa maafisa utumushi unajua wao wanapata hasara gani kato likitolewa au kupunguzwa na hii michezo ilifanyika sana unakuta kato linapunguzwanata elfu 20 ili mtumishi akope pengine kwa kumpoza afisa utumishi nina cases za bayport kufanya ivi mzee kama Unataka huduma vigezo na mashart kuzingatiwa hakuna narudia hakuna benk inafanya iv vitu kama kuna afisa mikopo kakwambia ivi kakudanganya pole sana