NMB - Arusha Business Centre na huduma za hovyo

NMB - Arusha Business Centre na huduma za hovyo

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Heshima sana wanajamvi,

Bank ya NMB ilifungua tawi (Branch) kwaajili ya wafanyabiashara (makampuni).

Jambo la kusikitisha siku hizo walimu,vibarua washona viatu,wauza ushanga,wauza mbege . ... wamejazana katika tawi hili ambalo lilikusudiwa kutoa huduma kwa makampuni.

Foleni zimekuwa kero kubwa mno.Unakuta mtu kaja kuchukua tsh 20,000 anakuchelewesha unayetaka kufanya transaction ya 500 million.Huu ni ujinga na ushamba wa kiwango cha lami.

Hongera CRDB tawi lenu Premier tunajinafasi vya kutosha.
 
Sijui mkurugenzi wa NMB anafanya nini !.Yapo matawi mengi eg Clock tower,mromboo.......

Mnashindwa nini kuheshimu qafanyabiashara wa kati na wakubwa ?.
 
Back
Top Bottom