NMB Bank huu upuuzi siutaki

NMB Bank huu upuuzi siutaki

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Nimemwambia mtu anitumie pesa kwenye akaunti yangu ya NMB. Baada ya nusu saa naangalia Salio hakuna pesa iliyoingia.

Nikamwambia aliyenitumia akasema anewapigia wamemwambia nisubiri masaa mawili pesa itaingia. Upuuzi Gani huu? Au tutumie mitandao ya simu tuwaache na upuuzi wenu?
 
Nimejiuliza, NMB ukatume hela, wakwambie eti, ataipata baada ya baada ya masaa 2, mwenzio anamnywesha chai yeye hajastuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimemwambia mtu anitumie pesa kwenye akaunti yangu ya NMB. Baada ya nusu saa naangalia Salio hakuna pesa iliyoingia. Nikamwambia aliyenitumia akasema anewapigia wamemwambia nisubiri masaa mawili pesa itaingia. Upuuzi Gani huu? Au tutumie mitandao ya simu tuwaache na upuuzi wenu??
mwambie akutumie uthibtisho wa muamala kwanza
 
Kwa ambaye hakijawahi mkuta atabishana.
CRDB nilinunua salio la elf 30 na Simbanking. Hela ikapungua na salio katika simu halikufika

Kwenda Bank wakanambia nisubiri masaa 24. Within masaa 24 itarudi
Hii ya salio kuchelewa inawezekana maana hapo kuna transfer kuelekea kampuni mbili tofauti
Ila hii ya jamaa ya cash deposit ni intermal tranfer within system network haitakiwi kuchelewa ,Aliyemtumia.pesa anamletea tu michezo ya mjini.
 
Nimejiuliza, NMB ukatume hela, wakwambie eti, ataipata baada ya baada ya masaa 2, mwenzio anamnywesha chai yeye hajastuka.
Sasa si bora hao masaa mawili, wengine wanakwambia subiri masaa 72, hela isipofika watairudisha kwa aliyetuma
 
Wee Zubaa tuu ndio unazulumiwa hivyoo!!
 
Serikali ya CCM kupitia taasisi na mamlaka zake wanacheza sana na akili za watu aisee.
 
Nimemwambia mtu anitumie pesa kwenye akaunti yangu ya NMB. Baada ya nusu saa naangalia Salio hakuna pesa iliyoingia. Nikamwambia aliyenitumia akasema anewapigia wamemwambia nisubiri masaa mawili pesa itaingia. Upuuzi Gani huu? Au tutumie mitandao ya simu tuwaache na upuuzi wenu??
Wapumbavu hao sana asee,pesa ikibaki kidogo kwenye account wanaipambania iwe yao waile Hadi iishe.
Waizi sana,makato makubwa
 
Back
Top Bottom