Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 2,096
- 5,211
Ukitaka uipate kwa wakati huo huo jitahid kumwambia mhusika akitaka kukutumia hela akutumie kupitia bank sawa na unayotumia wewe.Sasa hii ni shida. Next time sitaki tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka uipate kwa wakati huo huo jitahid kumwambia mhusika akitaka kukutumia hela akutumie kupitia bank sawa na unayotumia wewe.Sasa hii ni shida. Next time sitaki tena
Next time nitamwambia anitumie kwenye simu tu. Huu upuuzi siutakiKutuma pesa kutoka benki moja kwenda benki nyingine kwa njia ya SIM BANKING ni changamoto sana, pesa inaweza ikafika ama ikarudi.
Ilishanitokea kama Mara 3 kwa muda tofauti.
Mara nyingi kama mtu ana account ya benki nayotumia uwa namtumia kutoka kwenye akaunti yangu ya benki kwenda kwenye akaunti yake la sivyo basi nitumtumie kwenye simu kana yuko mbali ama nichukue cash benki nimpatie.
Wageni wa hizo huduma hao.Huku juu naona watu wanagoma. Kwamba ni kitu haiwezekani 😂
Njia yyt unotaka kutumia kufanya transactions vizuri uwe na knowledge nayo ka sivo kila kitu utaona usumbufuSasa hii ni shida. Next time sitaki tena
Kwa uelewa wangu less than 5M ni chap inakufikia,more than 5M it takes time because it pass through international operations hii ndo interbanking same as SWIFTSasa hii ni shida. Next time sitaki tena
Ndio nauliza what if umetumia njia hiyo Kwa ajili ya dharura na pesa inahitajika muda huo labda mgonjwa anatakiwa kuwahishwa hospitali. What will happen?????Juzi nilituma Tsh laki tano kwa njia ya Mpesa App Kutuma hela kwenda bank , hela ikakatwa na Muamala ukaja ukionesha kiasi nilichotuma, cha kushangaza nilivyocheki account yangu kwa njia ya Simbanking(CRDB) hakuna kilichokuwa kimeongezeka, ili bidi nihangaike na Watoa huduma kwa wateja Vodacom, na ndipo wakaniambia nisubili ndani ya Saa 24 kama muamala hautaenda basi utarudishwa kwenye account yangu ya Mpesa , nilisubiri ndani ya Huo muda na kweli ile hela ikarudi nikatoa kawaida kwa wakala na kuiweka bank kupitia dirishani. Hizi changamoto huwa zinakuwepo ndugu mtoa maada.
Hii SWIFT nayo ni shida tupu. Siku hizi Kuna Blockchains zenye uwezo wa kufanya thousands of transactions per second.Kwa uelewa wangu less than 5M ni chap inakufikia,more than 5M it takes time because it pass through international operations hii ndo interbanking same as SWIFT
Are they trustworthy? Hela ikikwama au isipofika Una pa kuwashitaki?Hii SWIFT nayo ni shida tupu. Siku hizi Kuna Blockchains zenye uwezo wa kufanya thousands of transactions per second.
How brother?Wapumbavu hao sana asee,pesa ikibaki kidogo kwenye account wanaipambania iwe yao waile Hadi iishe.
Waizi sana,makato makubwa