Ukiona hivyo ujue wamepigwaHii si mara yangu ya kwanza kukutana na changamoto kama hii. NMB iliwahi kutangaza maboresho ya mfumo wao na baadaye ikaeleza kuwa huduma zimerejea kikamilifu, lakini kwa uzoefu wangu NMB Mkononi bado haifanyi kazi kwa ufanisi unaotarajiwa. Nimeona pia malalamiko ya wateja wengine kwenye ukurasa wa NMB Instagram kuhusu changamoto zinazofanana.
Ameharibu, anapoteza Imani ya usalama wa fedha kwa kuchukua watu wasio na ujuzi wa kutosha.Madam anasema kaingia ofisini tangu 2021 mfumo haujawahi kubadilishwa so ndiyo wamebadilisha
Ni kweli Tena inakuwa haina makato na muda wote unaipata na kuitumia utakavyo.Hela ya kwako ikiwa mfukoni kwako.
Jana yamenikuta NMB, nawapigia eti "Heri ya Week la Mteja" yaani, nikasema Hawa wana masihara sana. Nasubiri kesho Masaa 48 yatimie kapesa kangu karudi.Ni kweli Tena inakuwa haina makato na muda wote unaipata na kuitumia utakavyo.