Wadau,
Nilifanya muamala Jtatu kwa NMB mkononi, wakakata hela zao za huduma kisha mimi wakaniandikia Transaction inprogress.
Niliwapigia simu mara kadhaa, niliwaandikia email lakini hakuna ufumbuzi wa maana. Wanasema nisubiri wanashughurikia.
Ajabu, hawajui ni lini watatatua hili tatizo.
Leo ni siku ya tatu, sijui hela yangu 1m + iko wapi.
Mdau, kwenye tatizo kama hili natoka vipi?
Pamoja,
Noke