NMB Bank-Tatizo la miamala kutokukamilika [inprogress] mtalimaliza lini?

NOKE

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
280
Reaction score
596
Wadau,

Nilifanya muamala Jtatu kwa NMB mkononi, wakakata hela zao za huduma kisha mimi wakaniandikia Transaction inprogress.

Niliwapigia simu mara kadhaa, niliwaandikia email lakini hakuna ufumbuzi wa maana. Wanasema nisubiri wanashughurikia.

Ajabu, hawajui ni lini watatatua hili tatizo.

Leo ni siku ya tatu, sijui hela yangu 1m + iko wapi.

Mdau, kwenye tatizo kama hili natoka vipi?

Pamoja,
Noke
 
Nmb Bank mnazingua sana
 
hili kwa siku kadhaa za karibun limekua janga
ukilipa kitu kwa nmb hela inakua in progress kwa hio kama umelipa bidhaa hupew sabab hela hawajaiona.juz nimekaa kusubir masaa 3 ndio ikawa completed.nolichojifunza toa hela nunua kwa cash utaadharika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…