NMB Direct Sales Staff Aptitude Test

NMB Direct Sales Staff Aptitude Test

Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali. Nina maswali kadhaa kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Direct Sales Staff.

1. Maswali common yanayoulizwa kwenye aptitude test ni yapi?

2. Je ukifanikiwa kupita kwenye aptitude test inachukua muda gani kuitwa kwenye Oral Interview?
Naomba msaada wenu wakuu.
Habari ndugu zangu..msaada kwa waliofanya Aptitude test Ya NMB tarehe21/10/2024.kama yupo tuwasiliane tafadhali...
 
Back
Top Bottom