NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

Who told you CRDB ni free? Tena CRDB app, ni ghali sana, ukitoa tu hela wanakata 5+ kuangalia salio 300 kwa CRDB ATMs na kuanglia salio kwa Simbanking ni 399

CRDB ni ghali zaidi.
Na hii PDF hivi ni viwango vya 2020-2021 Mkuu
 
Ushauri wangu kama umesahau ATM card yako tumia huduma ya CARDLESS kwani makato yake ni madogo kuliko kutoa kwa mawakala wao au hizi Tigopesa na Mpesa
 
Ndugu yangu hata kuangalia salio wanakata wanakata wanakata wanakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…