Uwesutanzania JF-Expert Member Joined Feb 9, 2019 Posts 1,380 Reaction score 1,686 Jul 29, 2024 #1 Inachukua mpaka masaa mawili pindi unapohitaji kuongea na watoa huduma kwa wateja, je shida ipo wapi? Uchache wa watoa huduma au ni uzembe wa watoa huduma? Au kuna tatizo kwenye kituo cha huduma kwa wateja? Ni NMB BANK
Inachukua mpaka masaa mawili pindi unapohitaji kuongea na watoa huduma kwa wateja, je shida ipo wapi? Uchache wa watoa huduma au ni uzembe wa watoa huduma? Au kuna tatizo kwenye kituo cha huduma kwa wateja? Ni NMB BANK