KwetuKwanza
Member
- Mar 13, 2023
- 82
- 150
NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini.
Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu wateja wa Wilaya hii ya Bariadi hamtutendei haki.
Boresheni huduma zenu za ATM Mashine, Tawi kubwa kama la Bariadi kila siku ATM inayofanya kazi ni moja tu, wakati mmeweka Mashine nne.
Kati ya hizo nne, ni moja tu ambayo kila siku inafanya kazi, siku za mishahara ni kero kubwa, mtu unatumia masaa mawili unasubilia foleni ili upate pesa.
Au mnafanya maksudi ili kuwapatia wateja mawakala wenu? Maana hii ni maksudi.
Na hili tatizo limeanza baada ya uongozi mpya kwenye hili Tawi kuletwa, tumepelekea kero hii lakini haifanyiwi kazi, Mashine zote tatu ni mbovu mnatutesa sana.
Haiwezekani Makao makuu ya mkoa kabisa, Mashine ya ATM inatumika moja tu, nyingine zote mbovu, na taarifa mnazo lakini hamzifanyii kazi.
Kama mnataka tuhamie Benki nyingie twambieni maana huo uwezo tunao, maana ela za kwetu tunaweka tunataka huduma Bora lakini hatupati.
Kero nyingine kwneye hizo Mashine Kuna moja ya zamani hiyo Mashine ni hatari sana, mtwambie kuwa mmeweka kama mtego au iwaingizie faida sana.
Hiyo Mashine ukichukua ela nyingi kama kuanzia Laki moja, unaisikia kabisa imetoa na unaletewa msg ya kutoa pesa, lakini inahesabu muda mrefu Kisha inarudisha hizo ela na unaletewa msg ya ela kurudishwa lkn Tyr umekatwa Yale makato ya kawaida ya kutoa ela.
Tunaomba kujua Kwa Nini tunakatwa, ela zetu wakati ni uzembe na ubovu wa Mashine zenu? Mashine inatoa ela Kisha inazirudisha kama zilivyo alafu Yale makato tunakatwa, huu ni wizi wa wazi kabisa.
Hizo huduma mbili kwenye hili Tawi letu ni kero kubwa sana Kwa muda mrefu, tunateseka sana sisi wateja wenu, haiwezekani Benki namba moja na kubwa hapa nchi inatuwekea Mashine ya Wizi, Mashine mbovu Kwa miaka mingi sana.