NMB huwa wanatoa wapi pesa za kugawa

NMB huwa wanatoa wapi pesa za kugawa

Benki inakushawishi ufanye saving au uweke akiba, wewe kwa kutokujua au kukosa elimu ya fedha unafanya wanavyotaka wao.

Fedha yako na wenzako kama wewe zinatumika katika uwekezaji wao na wanatengeneza faida kubwa sana.

Wakati huo fedha inapoteza thamani pia Kuna inflation n.k. mfano ukiweka milioni tatu akiba mwaka huu, pesa hiyo hiyo mwakani kama ilikuwa inaweza kununua mifuko 200 ya cement basi hatutaweza kupata tena mifuko 200 ya simenti kutokana na kushuka kwa thamani ya fedha au bidhaa kupanda bei.

Kwa hiyo benki wanapata faida kubwa kwa uwekezaji wa pesa za wanaoweka akiba.
 
Huwa naona NMB wako mstari wa mbele je hizo pesa huwa wanatoa wapi maana ni nyingi sana kwa mwaka mzima?
Kuna kitu kinaitwaga Corporate social responsibility (CSR)

Kampuni na tasisi nyingi sanaaa ulimwengu hata hapa kwetu TANZANIA zinafanya CSR

For details ingia hata online ujifunze Zaid.
Screenshot_20240821-074839.png
 
wanatoaga kwa mama kizimkazi tu lakini kwa wahitaji kabisa wale OG huwezi kuwasikia ni kibenki flani hivi cha kisiasa siasaaaaaa.
 
malipo yote ya serikali yanapitia kwao.

hivyo wanapata sana faida kwa transactions za serikali.

wanagawa hela kulinda tenda hiyo wasipokonywe ikaenda bank zingine
 
Back
Top Bottom