NMB kama hamtambui hizi taasisi si muende Mahakamani?

NMB kama hamtambui hizi taasisi si muende Mahakamani?

NMB hawana huduma za kihuni hizo, wangekutaarifu kwa sms ikiwa wewe ni mteja wao, ongeza na premium wote ni wale wale
 
Screenshot_20221214-233319.png
 
Tatizo la Watanzania kutapeliwa halitaisha kamwe, pamoja na wengi kusoma ila hawajitambui.
 
MshikoApp nilijaribu kukopa ikanitumia hela kweli,lakini wakaniamulia tu wenyewe kuwa muda wa kurejesha ni ndani ya siku tano na riba ni 30%,nawarudishia hela yao maana hata sikuwa nimeitoa,riba siwapi
 
Mshaambiwa,maana wabongo nyie wabishi

Ova
 
CHA KUSHANGAZA HATA BAADA YA MATANGAZO HAYA,UTAKUJA SIKIA
"TUNAIOMBA SERIKALI ITUSAIDIE"
 
MshikoApp nilijaribu kukopa ikanitumia hela kweli,lakini wakaniamulia tu wenyewe kuwa muda wa kurejesha ni ndani ya siku tano na riba ni 30%,nawarudishia hela yao maana hata sikuwa nimeitoa,riba siwapi
Tumia hawezi kukufanya lolote wezi hao
 
Vijana wa IT wanapokosa ajira rasmi, huwaza na kujiongeza kutengeneza app ambazo baadhi ni za udukuzi
 
unatumia android !. app nyingi za android ni upigaji
 
Unakopa elfu kumi, wanakutumia elfu Saba, Kisha. Wanafai rejesho elfu kumi na moja 😂😂 baada ya siku tatu riba unapanda adeni linakiea elfu 13 baada ya siku mbili deni linakuwa elfu 16 haaa Sasa wale wazee wa TALA na Branch wanawazoom tu kuwa nyie fikisheni riba hata laki hawalipi hata mia sababu wanajua kampuni ya magumashi
 
Back
Top Bottom