REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Nimetumiwa Jana hii mesejiMpendwa Mteja, Benki ya NMB inakutaarifu kuwa haihusiki na huduma yoyote ya kutoa huduma ya Mikopo mtandaoni kupitia UmojaLoan au Mshiko APP.
Tumia hawezi kukufanya lolote wezi haoMshikoApp nilijaribu kukopa ikanitumia hela kweli,lakini wakaniamulia tu wenyewe kuwa muda wa kurejesha ni ndani ya siku tano na riba ni 30%,nawarudishia hela yao maana hata sikuwa nimeitoa,riba siwapi