NMB kupata faida inayovunja rekodi zote ya TZS 775 bilioni ni matokeo ya Sera chanya na rafiki za kibiashara za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Bila kuumiza wateja kwa riba zisizohimilika huwezi kupata faida hiyo. NMB ni janga kwa Watanzania
 
Hongera. Hajazungumzia gawio kwa hisa moja ni kiasi.
 
Mkuu pongezi zimwndee mwendazake bila yeye hii benki ilikuwa inaenda ICU kwa maksudi aliamua wafanyakazi wote wa serikali mishahafra yao ipitie NMB kwa maana hiyo NMB walipata mtaji tosha kutoka serikalini, bila mnwendazake kufanya upendeleo maalumu NMB ingekuwa hoi bin taabani penye kusifiwa tuwe wakweli na tusiwe kama akina Mwijaku.
 
Umesahau kuweka namba


Nakukumbusha tu
 
Waunguze(removal)maumivi. Kwenye mikopo ya watumishi wa umma wanawadai watumishi kwenye bank loans interest. Waziondoe ili tunyanye kaz nao vinginevyo tutawaacha.

I promise
You
 
Wezi watupu nilikuwa na savings zangu nimeacha miaka miwili kwenda kuangalia Kila mwezi wanakata eti ada ya kuniwekea wakati huohuo wanazikopesha kwa riba kubwa 😡
 
Wezi watupu nilikuwa na savings zangu nimeacha miaka miwili kwenda kuangalia Kila mwezi wanakata eti ada ya kuniwekea wakati huohuo wanazikopesha kwa riba kubwa 😡
Kwani unadhani wao hawana Pesa Mpaka wakopeshe kwa kutumia hiyo pesa YAKO,
Je umeshawahi kwenda usizikute?
 
Akiwasilisha Taarifa ya Fedha ya Mwaka 2023, Afisa Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna amewashukuru wateja wetu, wanahisa, wafanyakazi, washirika wote wa Benki, Serikali kupitia Benki Kuu na Watanzania wote kwa mchango wenu thabiti na imani mliyonayo kwa Benki ya NMB.

CHANZO CHA YOTE HAYA NI HUYU MAMA ANAITWA RUTH HENRY ZAIPUNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…