NMB Mobile haipatikani

NMB Mobile haipatikani

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
Wandugu habari za leo

Samahan NMB Mobile Application inaniambia huduma hiyo kwa sasa haipatikani vipi wenzangu na nyie uko hivihivi au mim mtu.

Msaada tafadhali kwa anaejua
 
Mimi huwa napata ujumbe kama huo toka halotel
 
Kama uliharibu salary advance we angalia salio utanishukuru
Kuharibu vp mkuu, yaan ni hivi ukiweka menu yao ya nmb mobile ×150*66# inajibu huduma hiyo haipatikan kwa sasa wala uko kwenye salary advance haufik mkuu
 
Ndo hivo mzee.. tatizo ka hilo lilinikita leo, nimewasiliana na nmb, wameniambia hadi niwe na credit kwenye sim kuanzia 100 na kuendelea ndo nmb mobile banking inafunguka
Alafu mkuu ni kweli maana saiz wananiambia ongeza salio
 
Wandugu habari za leo

Samahan NMB Mobile Application inaniambia huduma hiyo kwa sasa haipatikani vipi wenzangu na nyie uko hivihivi au mim mtu.

Msaada tafadhali kwa anaejua
Tangu saa 8 usiku nasumbuka nayo...ni shida
 
Daaah! salary advance inapogoma ni hatari tupu, endelea kujaribu mkuu......
 
Ndugu elewa mada salary advance ya wap,
Mkuu kwa upande wako upo sahihi kabisa kwamba wewe unataka kuona tu kama nmb mobile inafunguka, ila hili la kusema kitu cha salary advance linatuhusu sisi tunaowaza nje ya box. sawasawa?
 
Mkuu kwa upande wako upo sahihi kabisa kwamba wewe unataka kuona tu kama nmb mobile inafunguka, ila hili la kusema kitu cha salary advance linatuhusu sisi tunaowaza nje ya box. sawasawa?
Sawa poleni
 
Back
Top Bottom