Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Hiyo ishawahi nikuta halafu zamani sana, kuna mtu alikua hajui kutumia ATM basi kapata sms kwenye simu yake kurudi nikamwambia pesa haikutoka acha mwanangu huo mtiti, tulipambana mpk tukapata namba ya zone meneja ndo akasema baaada ya siku 3 zitarudishwa ila acha tangu siku hiyo ile ATM siendi kutoa hata hela zangu.Kuna siku nilienda kutoa pesa ATM, Mashine ikawa inahesabu, Kadi ikatoka, risiti ikatoka pesa imetolewa, msg kwenye simu inakuja umefanya muamala, halafu Pesa haitokii...
Ilikua mtiti pale, nilizuia Mtu kugusa ile ATM, kuingia ndani naogopa, unaweza upishane nayo unatoka watu wamepita nayo, Nikamuita Mlinzi nikamwambi Aisee asikanyage mtu hapa...
Nikaingia ndani, Mhudumu akaniambia usijali pesa haiwezi tokaa, Nikamwambia Sawa ila ile ATM hakanyagi mtu pale..
Akatabasamu nikatoka nje kuimarisha ulinzi, hakusogea mtu pale mpk walivyokamilisha mambo yao..
CRDB nilishawahama huduma zao ni mbovu,wana majibu ya ajabu,makato yasiyoeleweka,kusikia mteja kaibiwa hela Crdb ni kitu cha kawaidaKuna habari nyingi za wateja kuibiwa fedha zao, kadi kumezwa ovyo, mashine kutokutoa risiti, makato makubwa na yasiyoeleweka, huduma mbovu na mambo mengi ya kihuni na ubaya hawajirekebishi bora wateja wahamie EXIM, STANBIC & KCBL
Crdb Walishanipiga elfu 47 nawauliza hii hela imekatwa kwa nini hakuna majibu yasiyoeleweka,Tangu hapo siweki hela CRDB.Kwa huduma za hovyo siaradibii ndio kiranja wao