NMB shida nini leo!?

NMB shida nini leo!?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Nimefanya Online Transactions mara mbili.. sijafanikiwA. Hela imekatwa..

Shida nini!?? Anyone p'se.

Namba ya huduma kwa wateja p'se.. anyone.!?
 
Nimefanya Online Transactions mara mbili.. sijafanikiwA. Hela imekatwa..

Shida nini!?? Anyone p'se.

Namba ya huduma kwa wateja p'se.. anyone.!?
Usiwe unafanya miamala kama hyo, especially muda mfupi baada ya salary kuingia. Mtandao unakuwa bize mnoo
 
Nimefanya Online Transactions mara mbili.. sijafanikiwA. Hela imekatwa..

Shida nini!?? Anyone p'se.

Namba ya huduma kwa wateja p'se.. anyone.!?
salary tayari mkuu hongera yako kula matunda ya kazi ya mikono yako
 
Nimefanya Online Transactions mara mbili.. sijafanikiwA. Hela imekatwa..

Shida nini!?? Anyone p'se.

Namba ya huduma kwa wateja p'se.. anyone.!?
Menyu ya NMB kwq mwaka huu 2023 ni changamoto sana.

Haina developing program ambapo kipindi cha nyuma ilikuwa ikikupatia mbadala wa muendelezo wa mihamala hata zaidi ya mmoja au ukishamaliza ni kurudi nyuma tu na kuangalia salio kujua wamekata gharama kiasi gani.
 
Back
Top Bottom