Hela zetu sie kina mbayu ndio wanakopeshwa hao wanaoingia kwa meneja moja kwa mojaKuwa mpole kama vipi zisake uwe unaingia kwa manager moja kwa moja.
Kuna siku nipo NMB singida nilienda kumuona mdogo wangu mmoja alikua pale basi nikaingia nikamkuta ndio anaweka mashine zake sawa akasajili watu wa chap chap nikaongea nae ghafla akaingia mshkaji hana mambo mengi dogo akaniambia mwamba sasa hivi anafuatwa juu anapewa huduma kakaa.
Unawezaje kuujua mdomo mchafu kwa mfanyakazi wa bank?huku mbezi louis kuna kimoja kinaitwa Diana aisee sijui ana bahasha huko ngazi za juu yaan ni ana mdomo mchafu balaa
πππππ Wanakopeshwa kwakua wanakopesheka ww una ac pale na huaminiki alooo jipange sawa sawaHela zetu sie kina mbayu ndio wanakopeshwa hao wanaoingia kwa meneja moja kwa moja
mishe zangu ni lazima kila siku niende bank hiyo ndio ipo jirani nami,na muamala wangu huwa unaanzia 10m.yaan kila mteja ambaye tutakuwa foleni haswa mawakala huwa wanamkwepa uyo dadaUnawezaje kuujua mdomo mchafu kwa mfanyakazi wa bank?
Mbona hayo mambo hayajawahi nikuta tatizo letu hatukumbuki kua tunadeal na binadamu wenzetu wenye matatizo mengi kama yetu au yametuzidi mfano mimi naweza fika bank nikakuta foleni kama nina haraka nitaenda tawi jingine au nitajaribu kuongea na wahudumu pale wanakupa muongozo unajikuta umemaliza jambo chap. Unafika bank kama unatafuta ugomvi lazima umwagiwe kauli chafu. Usijipendekeze ila onyesha ubinadamu tabasaku ongea na mtu kama unahitaji huduma yake wanasema mjinga mpe cheo tatizo letu kisa una vi laki mbili au chenchi maiti unataka umkoromee kila mtu aloo utabaki unamakasiriko kila siku wapo ma boss wana mikwanja wanaingia bank full tabasamu wanasalimia vizuri hawapati tabu kwakua wanajua pesa zipo viburi havina maana yoyote.
Basi Wote mnatatizo ukishaweza kufanya miamala ya hivyo jitahidi kuweka tabasamu kwenye uso wako ndo mtu wa kwanza kukusikia unamiamala ya maana na unalalamikia wafanyakazi wa bankmishe zangu ni lazima kila siku niende bank hiyo ndio ipo jirani nami,na muamala wangu huwa unaanzia 10m.yaan kila mteja ambaye tutakuwa foleni haswa mawakala huwa wanamkwepa uyo dada
We jamaa Bhana yahn niende bank kama mteja hafu nianze kujichekesha ovyo kwa muhudumu ili nihudumiwe?Basi Wote mnatatizo ukishaweza kufanya miamala ya hivyo jitahidi kuweka tabasamu kwenye uso wako ndo mtu wa kwanza kukusikia unamiamala ya maana na unalalamikia wafanyakazi wa bank
Ungekua umesoma vizuri communication skills ungenielewa sijamaanisha ujichekeshe kwani ukifika bank ukawa na uso wenye nuru tabasamu kidogo ukaongea na mtu vizuri akakupa huduma utakufa? Tatizo mkishatumwa tumwa kuweka hela za mabos mnataka kuwavimbia wafanyakazi wa bank wakati hao maboss zenu wakienda zinaiva vizuri tu na wafanyakazi. Unaweza jiona una msimamo kumbe kiburi kinakusumbua fungua macho ona mbeleWe jamaa Bhana yahn niende bank kama mteja hafu nianze kujichekesha ovyo kwa muhudumu ili nihudumiwe?