Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WamenitishaMie ndio huwa naona kama hazinihusu🤣🤣🤣
Hata Mimi nimezipuuzaSms za uhakiki nazipata ila nimezipuuza kumbe kuna watu mko nazo serious
Ila nilisikia ni zoezi endelevu. Waliweka dead line ili kututisha, maana bila hivyo watanzania tusingeenda 😀Wamenitisha
Ila umechanganya Mada.Sijasema kama mada ni ATM machine
Sijui kama nitaenda labda siku wanibahatishe nimeenda kwa shida zingineIla nilisikia ni zoezi endelevu. Waliweka dead line ili kututisha, maana bila hivyo watanzania tusingeenda 😀
Rekebisha sasa, hovyo tuIla umechanganya Mada.
😂Rekebisha sasa, hovyo tu
kama hiyo account unaitumia nenda tu, wanaizuia huduma hasa kutoa hela au kuhamisha.Sms za uhakiki nazipata ila nimezipuuza kumbe kuna watu mko nazo serious
Au sio
Unaweza kufanya hata kwa namba tuVipi ukiwa na namba ya nida tu bila kitambulisho unaruhusiwa, kufanya uhakiki?
Shida ya local BanksHuu ni upuuzi, yaani kuhakiki akaunti miaka hii mpaka tukapange foleni?
Biometrics na taarifa zote wanazo, wachohakiki ni nini?
Waifunge akaunti yangu naachana na masuala ya benki.
Hawa nao hamna kituKaribu CRDB boss ukifika tu kwanza kama ww n mdau wao mkubwa unaitwa chumba special na kahawa unatengewa unagonga vitu vyako taaratibu