KERO NMB uhakiki mnatutesa

KERO NMB uhakiki mnatutesa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hivi kuwaita wateja na huduma kwa wateja wenu wamezidiwa, tunaweka foleni kama kitu gani wengine wagonjwa. Kwanini isiwe madawati kila mahali hadi kwenye vituo kupunguza foleni. Foleni kubwa sana mpaka imekuwa mateso, wateja wengi hivi mtatuweka sana.

Tunachoka, ntakuja kesho
Wangefanya uhakiki kuwa endelevu,hivi walimu wote,wafanyakazi wote wanaochukulia mshahaara NMB wote waje ofisini kuhakiki taarifa zao hivi mbona kero hii!
 
Back
Top Bottom