Rurakha
Senior Member
- Oct 20, 2019
- 122
- 224
Habari za leo
Hivi karibuni kumetokea wimbi la uchache wa machine za NMB kwa mawakala hivyo baadhi ya mawakala walilazimika kutumia NMB via Selcom
Lakini kutokana na changamoto kati ya NMB na selcom hii huduma imesitishwa hivyo NMB wakaja na huduma mpya ya kutoa huduma kwa kutumia simu yako mkononi yaani smartphone
Unaenda NMB unafungua float Account
Kwa yoyote ambae ameshatumia huduma hii tunaomba atupe uzoefu
Nawasilisha