NMB wire transfer zinatumia muda gani?

NMB wire transfer zinatumia muda gani?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu.

Kama kuna mwenye uzoefu wa kupokea pesa kutoka nchi za Ulaya kupitia benki ya NMB anijulishe inachukua siku ngapi. Nilikuwa natumia CRDB zamani ilikuwa inaingia ndani ya masaa 24.
 
Habari wakuu.

Kama kuna mwenye uzoefu wa kupokea pesa kutoka nchi za Ulaya kupitia benki ya NMB anijulishe inachukua siku ngapi. Nilikuwa natumia CRDB zamani ilikuwa inaingia ndani ya masaa 24.
habari!
vp ulipata majibu?
nami nahitaji kujua hii kitu
 
kwa yeyote atayehitaji kufahamu; Huwa inategemea mara nyingi ndani ya siku 3 za kazi.
Kwangu mie mara nyingi imefika ndani ya siku 2 za kazi.
 
Back
Top Bottom