NMB yakabidhi jezi kwaajili ya michezo ya Majeshi

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Benki ya NMB imekabidhi jezi kwa Baraza la Michezo kwa Majeshi Tanzania kwajili ya mashindano yatakayotimua vumbi kuanzia Julai mpaka August mwaka huu.

Jezi 154 kwa Football
Jezi 84 kwa Basketball
Track suit 32
Tshirt 250

Vifaa hivyo vyenye thamani ya Milioni 16 vitasaidia ufanyikaji wa mashindano hayo kwa ufanisi mkubwa.

Kila la heri kwa majeshi yetu kwani michezi ni afya.
 
Ila wanawake mna nini lakini!??
 
Benki nazo zimo, kuna ile ya Kimei imejiita chaasubuhi hii haitaki maneno ni vitendo
 
Daaaaahhhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…