NMB yampongeza Saniniu kwa lugha ya kimasai

[emoji23][emoji23] Huyu Mkurugenzi lazima apatiwa fungu kidogo na Billionaire Laizer
 
kwenye interview aliyo fanya laizer na millard ayo ana sema kwamba alisha omba mkopo bank(hakutaja n bank gani) zaid ya mara mbili na zote izo alkua ana ambiwa aende asubiri wana shughulikia suala lake lakin mara zote hizo mbili haku fanikiwa licha ya kupeleka vielelezo vyake ili apate mkopo

leo naona wajuba kama wajuba wanampa pongezi kwa lugha yao

kweli bongo nyoso
 
Ukiwa na pesa utathaminiwa haraka haraka

Ukiwa alosto hata nzi wanakukimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzetu Kenya wanajitahidi kuhifadhi lugha zao , mfano wana hadi tv kama vile inooro, na kameme zenyewe hazitangazi kwa kiswahili wala kiingereza, bali kwa lugha asilia, ila nasikia hapa tanzania ukifanya hivyo hupewi leseni ya utangazaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…