NMB yampongeza Saniniu kwa lugha ya kimasai

NMB yampongeza Saniniu kwa lugha ya kimasai

wezetu kenya wanajitahidi kuhifadhi lugha zao , mfano wana hadi tv kama vile inooro, na kameme zenyewe hazitangazi kwa kiswahili wala kiingereza, bali kwa lugha asilia, ila nasikia hapa tanzania ukifanya hivyo hupewi leseni ya utangazaji
Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 itakuwa hatari kufananisha na Kenya wenye makabila 2
 
Huo ukabila Kenya huoni unavyo waumiza kwenye siasa?
 
Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 itakuwa hatari kufananisha na Kenya wenye makabila 2

Kenya wana makabakika 43 na siyo mawili(2)! Tatizo pale ni kuwa na county governments 47 karibu ya kila kabila kuwa na county yake which means kukuza ukabila!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Wenzetu Kenya wanajitahidi kuhifadhi lugha zao , mfano wana hadi tv kama vile inooro, na kameme zenyewe hazitangazi kwa kiswahili wala kiingereza, bali kwa lugha asilia, ila nasikia hapa tanzania ukifanya hivyo hupewi leseni ya utangazaji
Duu
 
Ndo lengo kubwa maana Mabank wataanza oohh njoo tukupe namna ya kutumia ela ..na anayekwambia hivo kwa mwezi analipwa 500000 na anataka kukushauri namna ya kutumia BIL
Kuna possibility kubwa pengine ameshazihifadhi kwenye hiyo benki.
 
Back
Top Bottom