funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
nadhani unaongea tu bila kufuatilia kiundani, huwezi kulinganisha NMB na CRDB kwani hata kwa idadi ya matawi NMB imeizidi CRDB sana ndio maana NMB inashinda tender ya kuhudumia watumishi wa serikali kwa kuwa ina mtandao mkubwa sana na pia ndio bank inayoongoza kwa kuwa na capital kubwa nchini, umiliki wa majengo ni asset kubwa sana kwa NMB na ndio inayoifanya iwe strong financially. NMb ina matawi sehemu zote muhimu mjini na wala haibagui maeneo kama baadhi ya benki na ndio siri kubwa ya kushinda tender za serikali.huyu CEO anayeondoka hajafanya vizuri kabisa. NMB inajulikana kama "the sleeping giant". Ni aibu hii benki. Ina bahati sana kwa kuwa ni kubwa by default. Mishahara ya wafanyakazi wa serikali inapitia pale. kama ingekuwa wafanyakazi wa serikali wanauhuru wa kuchagua benki wanaoitaka basi ingekuwa shughuli.
hii benki inamiliki sehemu nyingi tokea zamani lakini bado inashindwa na crdb bank ambayo inapanga sehemu kibao. wao town centre dsm wana branch 2, wakati wenzao wana 5
halafu uongozi wao wote umejaa wageni kasoro CFo waziri
Ukiongelea city centre NMB wana tawi kubwa tu pale NMB House na pia kuna branch ya kubwa sana ya Bank House na pia kuna matawi kama Morogoro Road, Kariakoo, Muhimbili, Ilala, Magomeni, Ubungo, Mlimani City, Mwenge, UDSM, Temeke, Mbagala, Masaki, Mikocheni to metnion the few
Hii benki ni kubwa na ndio inayoongoza kwa nchi yetu mie si mteja wa hii benki ila nadhani ndio benki iliyofanikiwa baada ya kubinafsishwa kuliko benki zote. Benki kama CRDB inajitangaza sana na ni kubwa na ni mfano kwa kuwa inaongozwa na wazalendo lakini uwezi fananisha na NMB hata kidogo