NMB yasitisha rasmi huduma ya Salary Advance

NMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022.

Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha.

Mtumishi mmoja wa NMB amesema Hali ni Tete katika bank hiyo.
Inabidi tuanze kuondoa pesa zetu huko.

Dalili ya kifo cha mende
 
NMB washindwe kujiendesha kwa sababu ya Salary advance? Kwanza ni mkopo ambao bank inauhakika wa kuurejesha Kila mwezi kwa asilia 100% lamda tu iwe mfanyakazi hajalipwa na serekali mwezi husika. Pili ni biashara yenye faida sana coz ndani ya mwezi mmoja wanazalisha faida ya kutosha kutokana na riba zao.
 
huyo atakuwa kafeli yeye kupata mkopo!

NMB Wanapiga hela sana kwenye hii salary advance! mfano kama watu watachukua 10Bilion wanapata faida 600Milion kwa mwezi
 
NMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022.

Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha.

Mtumishi mmoja wa NMB amesema Hali ni Tete katika bank hiyo.

Huyo ni muongo,kama nmb hali ni tete huko mwanga bank itakuwa kitete
 
NMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022.

Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha.

Mtumishi mmoja wa NMB anadai hali ni Tete katika bank hiyo.
Duh hatari
 
Haiwezekani, hii ya product inayowapa hela ya bure bure, na default rate yake ni almost zero, na ni cheap kwa wafanyakazi
 
Acha uongo waifu katoka kuvuta 200k muda sio mrefu.[emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
NMB imesitisha rasmi huduma ya salary advance kwa mwezi June, 2022.

Hii night kutokana na kukopwa kwa kiasi kikubwa na kusababisha kushindwa kujiendesha.

Mtumishi mmoja wa NMB anadai hali ni Tete katika bank hiyo.
acha uongo, huduma bado ipo
 
Salary advance Wana calculate vipi? Yani unapewa kiasi gani cha mshahara wako?
 
Back
Top Bottom