NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama


Hizo hela wamepata wapi? Au ndiyo pesa zetu ukiweka milioni benki unaenda kuchukua laki tisa na ushee!
Waache tabia hii mara moja!
 
Kwa hesabu hizi, uchumi wa Tanzania bado ni mdogo sana.

Benki kumi kubwa kabisa zimepata faida ya Shilingi bilioni 1096, just over a trillion.

That is not even half a billion dollars.

It is a mere 438 million USD.

Mchuano kati ya CRDB na NMB ni mkubwa, ripoti hii iliyochapishwa mwezi wa Mei ilionesha CRDB kuwa benki bora Tanzania.

 
Achana na haya majarida uchwara wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…